Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Last edited by a moderator:
......Ongezea na ukinywa maji waniona kwenye glasi.
......... Ukitaka nikubali ombi lako, Njoo na ID yako ya zamani , hii ya mwaka huu 2013 siitambui.



Mwanafunzi wangu Kaizer mbona wajeruhi moyo wa mwekundu?????

Mwalimu wangu Madame B, hapo nimemkumbusha tu, sema wewe umemkumbusha kikubwa zaidi....
 
Last edited by a moderator:
......Ongezea na ukinywa maji waniona kwenye glasi.
......... Ukitaka nikubali ombi lako, Njoo na ID yako ya zamani , hii ya mwaka huu 2013 siitambui.
Oh..pliz do me a favour am new here,just happened to fall in ur l-o-v-e!!


Mwanafunzi wangu Kaizer mbona wajeruhi moyo wa mwekundu?????



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hizi get together ni za kimya kimya bila invitation? hata kama tumefunga jamani kutualika tu inaonyesha kua mnajari...
 
Mwalimu wangu Madame B, hapo nimemkumbusha tu, sema wewe umemkumbusha kikubwa zaidi....

Haya mwanafunzi wangu Kaizer, umesomeka kikubwa na mimi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

aqm.jpg
mwekundu.
 
Pole Kapalampya.....hii ilikuwa ni maalumu kwa watu maalum.
Next parre kama alivojibu odo Madame B utaalikwa!
ila uje na "mnazi"

Hahaha......tena uwe haujachujwa kabisa.
Au asubiri Combo Party pale Dec.

Madame B....
next time ukiandaa mtoko kama huu halafu usinialike hatutaelewana.....
umenidhulumu haki yangu ya kum-meet Paloma

Jamani best,....Ungeweza Panda pipa fasta uje Fixed Point?
Ila usijali, next tme nitakuwekea siti yako mwezi Dec. mummy.
:A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 
Last edited by a moderator:
hao watu maalumu wananini, wanatembea kwa mikono?.. ngoja na sisi lindi wing tuandae ya kwetu tuna ndugu yetu anamcheza mwanae..

Jamani.......
Sio hivo, sasa wewe unadhani ungeweza kuja fasta maana tuliambiana J5 then Jmosi ndo tukakutana.
 
Jamani.......
Sio hivo, sasa wewe unadhani ungeweza kuja fasta maana tuliambiana J5 then Jmosi ndo tukakutana.


huku kwetu kuna ndege dk 45 pia kwa basi ni masaa ma6 tu nipo mjini nikitoka saa 12 saa 5 nipo dar naweza kuja na kurudi..
 
Back
Top Bottom