ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Haya nimekusoma ladyfurahia, mimi naitakia mema ndoa yenu wala sina hata chembe ya wivu pamoja na kuwa juzi ulinikimbia eti unamuwahi Mentor.
Haya nimekusoma ladyfurahia, mimi naitakia mema ndoa yenu wala sina hata chembe ya wivu pamoja na kuwa juzi ulinikimbia eti unamuwahi Mentor.
kwa kwaaa kwaaaa kwaaaa tehe tehe wewe mwenyewe bestito uliona siku ile alivyokuwa atulii kazi kunitolea mimacho mtoto wa mwenzie si unamfahamu yule kh. ..............omama ulimi! umeteleza hapo ni mt, ilibidi nitimke nisijeharibu ndoa yangu bure
karibu lunch best naenda kula wali nyama na mboga acha nikutamanishe hapo,
Paloma mwambie sosoliso hiyo minyama hata kwenye sambusa imo. Na dawa ya nyama ni kisu/panga kama ilivyo dawa ya boflo ni chai!!!hahaha anakuona ujue Mwita Maranya.....anasema "unafikiri anaogopa mapanga?!?!?"
teeeh!
nimekuvulia lemba............!
Hahahahaha... hivi unapendaga hii makitu? πizza:
hahahaaa haya bana! ila ndoa ulishaharibu, mumeo kaniambia jinsi ulivyokuwa unaringa katikati ya Mtambuzi na nanii yuleeeeee...................a-:tape: sema mwenyeeeeewe!
Hahahahaha... hivi unapendaga hii makitu? πizza:
Mwita Maranya inaonyesha kama lady furahia anataka kukufundisha kwaya?
mbona unakuwa kama hujui kusoma nyakati jamani.
Wewe kuna kitu unakitafuta ujue....
Mkuu mbona sasa unaharibu...?
We na roho yako tu, Jmosi tukutane hapo LTHP kama kawaMi nimeona tu kama ni mkusanyiko wa vipapatio,
kwa hii blue Monday ni lazima ukumbuke sehemu;
nitafutie Mtambuzi umwambie nimetamani hiyo plate
hapo juu
pengine atatoa ushauri.
Wewe kuna kitu unakitafuta ujue....
Mkuu mbona sasa unaharibu...?
We na roho yako tu, Jmosi tukutane hapo LTHP kama kawa