Wonders shall never endsHuyu jamaa kapinda kweli kweli! Naye ni nabii? Anahubiri ngono??
Ndiyo Ukweli Wenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakitoka hapo waumini wote boxer na Pichu zimeloa
Daahh Dunia inakwenda Kasi Sana yaani mambo Kama haya yana diskasiwa hadharani hivi ...OMG
[emoji16][emoji16]Happy Kuna sadaka ya kutolewa, sadaka ya kuboresha tendo la ndoa, kuongeza nguvu za kiume na kuongeza sperm count.
Hallelujah
Aibu nimeona Mimi [emoji16]Ndiyo Ukweli Wenyewe
Pasta kashukiwa na upako wa kuaibishaAibu nimeona Mimi [emoji16]
Miaka michache nyuma jamaa alikuwa kimbau mbau na mweye pua ndefu,nyembamba. Ajabu kanenepa kuanzia "pua" kiasi cha kupoteza uwezo wa kunusa! Kibwetere in making.Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
View attachment 1658284
Pasta kashukiwa na upako wa kuaibishaAibu nimeona Mimi
Kanenepa Hadi menoMiaka michache nyuma jamaa alikuwa kimbau mbau na mweye pua ndefu,nyembamba. Ajabu kanenepa kuanzia "pua" kiasi cha kupoteza uwezo wa kunusa! Kibwetere in making.
Moto umewaka
Mwingine huyu hapa
Happy birthday to youHeeeh kumekucha sasa,
Dunia simama nishuke.
Yajayo yanaogopesha.
Tanxieeeeh moaah [emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday to you