Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello!
Naomba anisaidie mdau mtaalamu wa upambaji wa cake,nina iceing sugar natakiwa niichanganye na nini na nini ili niweze kuichora juu ya cake yangu kwa maana ya kuipamba.Plz help me!
Kijana13 asante manake nataka kuanzisha kimradi cha cakes hizo ila kupamba ndo ilikuwa tatizo.Visimple machines hvy ninavyo ila utaalam huo ndo ckuwa nao.Najaribu fasta 2day ntakupa jibu.Iceing sugar yenyewe imeandikwa pure white iceing sugar,hz za kawaida tu za maduka ya kawaida za sh 3000
Tuko pamoja mkuu, utanipa updated ya upambaji, hata Mi nina mpango wa kuanza soon hiyo biashara Bado njipanga. Icing sugar grms 250 inarange 2500 hadi 3000.
hongereni n all the best, ni biashara nzuri sana na ukiwa mbunifu na vifaa na kujitangaza lazima ufanye vizuri sana, naiwazia hiyo biashara ila bado sijapata kibali/upenyo n time ya kufanya, so all i can do ni kuwatakia heri mnaothubutu.
Msaada, je ni vifaa au mashine gani inayotumika kupambia keki iwe na muonekano wa picha ya mhusika wa tukio kama ndoa nk
Tuko pamoja mkuu, utanipa updated ya upambaji, hata Mi nina mpango wa kuanza soon hiyo biashara Bado njipanga. Icing sugar grms 250 inarange 2500 hadi 3000.