Upambaji wa Keki

Upambaji wa Keki

ELVISLILY

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
55
Reaction score
24
Hello!
Naomba anisaidie mdau mtaalamu wa upambaji wa cake,nina iceing sugar natakiwa niichanganye na nini na nini ili niweze kuichora juu ya cake yangu kwa maana ya kuipamba.Plz help me!
 
Mkuu kuna Royal Icing, foundant,cream icing,butter cream icing.unataka ipi?
Pia katika kupamba keki iwe na maua na other decoration lazima uwe na icing mashine na nozzels.
Mfano
Butter cream icing unakuwa na vitu vifuatavyo
1.250 grms icing sugar
2.100 grms margrine (blue band)
3.2 table spoon milk

HATUA
Changanya margarine na icing sugar mpaka iwe cream kisha ongeza maziwa mpaka ichanganyike vizuri na kuwa fluffy then hapo inakuwa tayari kwa kupambia keki.
 
Kijana13 asante manake nataka kuanzisha kimradi cha cakes hizo ila kupamba ndo ilikuwa tatizo.Visimple machines hvy ninavyo ila utaalam huo ndo ckuwa nao.Najaribu fasta 2day ntakupa jibu.Iceing sugar yenyewe imeandikwa pure white iceing sugar,hz za kawaida tu za maduka ya kawaida za sh 3000
 
Tuko pamoja mkuu, utanipa updated ya upambaji, hata Mi nina mpango wa kuanza soon hiyo biashara Bado njipanga. Icing sugar grms 250 inarange 2500 hadi 3000.
 
hongereni n all the best, ni biashara nzuri sana na ukiwa mbunifu na vifaa na kujitangaza lazima ufanye vizuri sana, naiwazia hiyo biashara ila bado sijapata kibali/upenyo n time ya kufanya, so all i can do ni kuwatakia heri mnaothubutu.
 
Thanks baby s, karibu sana kwenye tasnia ya baking, Sure ni Kweli ukipata vifaa na kujitangaza u will make a lot of money.Wish u all the best.
 
Msaada, je ni vifaa au mashine gani inayotumika kupambia keki iwe na muonekano wa picha ya mhusika wa tukio kama ndoa nk
 
Mkuu kudecorate keki kwa rangi na maua unatumia icing mashine etc na Nozzel zake. but kwa case yako shape unatumia pan/filling/au chombo maalumu chenye shape ya mtu etc ambacho ndio unamiminia mchanganyiko wa keki then ikishaiva ndio unapamba sasa kwa kutumia icingi mashine kuweka rangi na mapambo..
 
Tuko pamoja mkuu, utanipa updated ya upambaji, hata Mi nina mpango wa kuanza soon hiyo biashara Bado njipanga. Icing sugar grms 250 inarange 2500 hadi 3000.

Hi!
Asante niliweza kijana13.Naomba 2wacliane 0688064675 soon ukipata ma msg.Plz ni2mie msg usibeep.
 
Back
Top Bottom