Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

Wanaomlisha huyo Ateba ni wachoyo, wabnafsi wanapiga changa weee mpaka wanany`ang`anya mpira hampi pasi huyo Ateba nao ni Okejepha na Ahua ni wachoyo
 
Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
Leo ndio atajua kwa nini Diara huwa anafika mpaka mstari wa katikati ya uwanja kupokea pass. Sisi hatujali kufunga kwake, akifunga goli moja tunamlipa mawili akifunga mawili tunamlipa manne. Amuulize Fei na Kibu
 
Baada ya dakika 90 utashangaa mnaanza kumtukana tena huyo Atteba kama ni garasa! Mara Mo aturudishie timu yetu! Mara hatumtaki Mangungu!! Mara oooh!! Yule kocha Fadlu Davis hafai, bora Mgunda!!

Kwa kweli aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa simba aliwaza mbali sana.
 
Mtaongea vyote ila mpira dakika 90'
 
Leo simba inashinda. Ambaye haamini tukutane baada ya dakika 90
 
Back
Top Bottom