Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
Yaani napata tabu nitawaambia nini wajukuu wangu kuwa pale alikosa huyo kijana?Pamoja na kupewa nafasi ya kufunga goli la kuotea! Yeye na mwenzake Joshua Mutale walikosa eti!! 😁
Nawetukuulize umeona ateba alivyo dhibitiwa kikamlilifu na afande baka?Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
Mlishamaliza kuijenga?Tunauwakika team ipo na tutawashangaza leo....😃
Naona umeona tuvi emoj twa tuvicheko tuwili tutatu hatutoshi, umeamua kutuletea binua mchanga.
Cheko la binua mchanga 🤣🤣🤣🤣Naona umeona tuv emoj twa vicheko vili vitatu hatutoshi, umeamua kutuletea binua mchanga.