Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
download (3).jpeg
 
Mpira unaanzia uwanja wa mazoezi na kuonyeshwa uwanja wa mechi. Mpira hauchezwi kwa slogans za Ubaya ubwela. Ndio maana mzee wa Slogans sisi yuko pembeni.
 
Back
Top Bottom