Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye.

Nimetafuta ilipo Kingori Secondary inasomeka ipo wilaya ya Arumeru siyo Hai. Nimetafuta wanafunzi waliomaliza form four 1999 hakuna jina la Denis Urio kwenye hiyo shule.

Lakini pia shahidi anaonekana kutomfahamu hata mwalimu mkuu na hii ndiyo sababu ya Mimi kufanya search kuona huyu mtu anafahamika? Tofauti na majina na mwaka lakini shahidi ameshindwa kujua hata divisheni 4 inaanza na alama ngapi.

Katika mazingira haya unajiuliza huyu mtu kwanini hakufukuzwa kazi wakati wa vyeti feki? Lakini kama taarifa zinazosambaa mitandaoni zinadai Denis Urio ambaye siyo mchaga ni mmeru alihitimu shule 2000 na familia ya Urio ipo karibu na shule kwanini vyombo vya habari visitafute ukweli?

Kwa upande wa mahakama, kwanini wanakubali kupokea mashahidi ambao wanataarifa za majina ya watu wengine? Je, upande wa utetezi kwanini wasiombe Mhe. Jaji wafungue kesi ndani ya kesi ili kuthibitisha mahakamani kwamba shahidi aliyepo mahakamani hayo ni majina yake?

Kwanini upande wa utetezi wasiwekee pingamizi ushahidi wa Denis Kwa kuwa huyu siyo Denis Hadi atakapothibitika kwamba ni Denis.

Kuweka pingamizi kutawafanya utetezi waweze kuwasilisha ushahidi kuthibitisha huyu shahidi anadanganya taarifa zakuzaliwa na taarifa za wazazi wake, maana naamini akihojiwa majina ya wazazi wake yaani baba na mama, wapi walipo, amezaliwa Kijiji Gani na kusomea primary wapi utakuja kubaini huyu ni Denis au si Denis
 
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye...
Kimeumana unaweza shangaa kumbe alinunua vyeti🤣🤣
 
Jamaa akiulizwa maswali anayoona majibu yatamfunga, majibu yake ni sijui...

Mjeda gani tena komando ambaye hata hajui kakutana na 'gaidi' mida gani, hajui vingi ya vitu vyake binafsi...heheh
Mwanzo alisema nyumani kwake ni Ngerengere kumbe alisahau kwenye nyaraka za mahakama aliandika anakaa mahonda. Leo anasema ana nyumba mbili.
 
Tatizo lilianza kwenye Jina la kati LEO halafu yeye ni Mchaga ,Shahidi ni huyo huyo sema ni Mjanja mjanja sana ,kuna uwezekano alitumia vyeti vya mtu mwingine .
 
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye...
Hoja nzuri.

Japo hilo halitofanyika kwa sababu polisi na JWTZ kwa asilimia kubwa wengi majina na vyeti siyo vya kwao.

Hiyo miaka biashara ya kununua na kuuza majina +vyeti ilikuwa kwenye peak!!

Dadangu Beatrice Kamugisha

Acha ibaki hivyo hivyo!
 
Tatizo lilianza kwenye Jina la kati LEO halafu yeye ni Mchaga ,Shahidi ni huyo huyo sema ni Mjanja mjanja sana ,kuna uwezekano alitumia vyeti vya mtu mwingine .
Soma posti yangu hapo juu!
Wewe ni genius!🤣🤣🤣
Matukio kama hayo ya majina wanayo watu wengi... Bashite (Makonda), Kigwangala (Bagaile), Madelu, et al
 
Although trial within a trial is a matter of practice, I commend they should havefiled for a trial within a trial at the earliest stage sasa hivi wameshachelewa maana ndio wanamalizia ushahidi.

Mleta mada una akili sana
 
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye...
Nadhani angekuwa Denis fake, vijana wake wa mafunzo akina Adamoo wasinge kalia kimya jambo hilo. Discrepancies kwenye maelezo yake pengine zina thibitisha mashaka ya wengi kwamba alitiwa kibano cha kutosha alipokubali ku compromise akalishwa hiyo script iliyo andaliwa na kina Kingai.

Kina Kibatala tayari wanashuku kuwa hatokei nyumbani, wala hotelini, wala kambini kuja kutoa ushahidi - kumbuka akina Lingwenya walidai kumwona Tazara akitiwa kibano na kulia kwa kilio kikuu.
 
Kwa hiyo mmeamua mbuzi aelekezwe kibla au achinjwe hivyo hivyo?
 
Ooh jamani ila huyo ni special force.

Hata kama unamzidi ila ni special force.
 
Naunga mkono hoja nmechek namba inayodaiwa ni ya denis urio ni voda mwsho inaishia na 2525 ina jna la bnadamu mwingne ...ina mana denis alitumia NIDA ya huyo mtu mwngne na mahakaman kasema hiyo ni namba yake mbele ya jaji....
Fundi makanika, kainigia jeshi kwa vyeti feki
 
Back
Top Bottom