UPANDISHAJI KWA NGURUWE KWA NJIA YA MRIJA (ARTIFICIAL INSEMINATION)

UPANDISHAJI KWA NGURUWE KWA NJIA YA MRIJA (ARTIFICIAL INSEMINATION)

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
Habari wafugaji! Napenda kuwashukur kupata nafasi kwa muda huu .binafsi Mimi ni daktari gilliard najihusisha na masuala yote ya wanyama Yani mifugo.

Leo napenda kuwaletea juu ya upandishaji kwa nguruwe kwa njia ya mrija.njia hii ni muhimu sana endapo ukitumia kwenye shamba lako la mifugo na kuleta matokeo Bora sana
UMUHIMU WA KUPANDISHA KWA NJIA YA MRIJA(ARTIFICIAL INSEMINATION)
✓ Kuzuia magonjwa ya uzazi kwa wanyama wako mfano brucellosis
✓husaidia kupunguza gharama ambazo ungeweza kutumia nguruwe dume kwa ajili ya uzao
✓kuzaaa mbegu Bora shambani kwako kwa sababu A.Ihusaidia kupata mbegu zilizobora sana

MBEGU TULIZONAZO HAPA
✓Duroc
✓pietrean
✓p90
✓largewhite

Tumia njia ya kisasa ya upandishaji kwa mafanikio yako hapo baadae
Kwa mteja wa mpya atapata offer ya punguzo wahi ujipatie huduma bora

Kwa mawasiliano zaidi 0674740836
0792263640
Karibu sana
 

Attachments

  • VID-20250316-WA0013.mp4
    1.3 MB
Uhimilishaji kwa sow sidhani kama unatija sana labda kwa ng'ombe
 
Ulichukua sperms ya mbuzi uka mdunga PIG inafanya kazi?
😁 We jamaa biology ya form two classification inakujibu unajua species tofauti mkuu then unazani mutation itatokea vipi.

Yaani uchukue shahawa za mbuzi,kondoo Uzi ingize kwa kitimoto are you serious 😅
 
😁 We jamaa biology ya form two classification inakujibu unajua species tofauti mkuu then unazani mutation itatokea vipi.

Yaani uchukue shahawa za mbuzi,kondoo Uzi ingize kwa kitimoto are you serious 😅
😅😅nilkua art material, biology nilisoma basi tu kwa kua option ya kuachana nayo haikuwepo
 
😅😅nilkua art material, biology nilisoma basi tu kwa kua option ya kuachana nayo haikuwepo
Haaahaa 😆 🤣 😂 kidogo kondoo anaweza kumpanda mbuzi na wakazaa.

Ila huwezi m cross kitimoto vs binadamu e.t.c mbuzi,kondoo, punda...
 
Gharama zake zikoje na mnapatikana wapi?
 
Gharama zake zikoje na mnapatikana waplo

Gharama zake zikoje na mnapatikana wapi?
Morogoro mjini.popote ulipo tunakufikia kwa haraka sana.
Karibu sana.
Kwa morogoro mjini Bei yake huwa ni 150000tsh.ila ukiwa mkoani Bei yake 200000tsh
Unaruhusiwa kuongea juu ya gharama zetu kulingana na idadi ambayo unapandisha nguruwe wako. .
Karibu sana mteja wa kwanza Kuna offer ya punguzo
 
Ngoja niitunze hii post, nitakuhitaji miezi michache ijayo.
 
Back
Top Bottom