Habari wafugaji! Napenda kuwashukur kupata nafasi kwa muda huu .binafsi Mimi ni daktari gilliard najihusisha na masuala yote ya wanyama Yani mifugo.
Leo napenda kuwaletea juu ya upandishaji kwa nguruwe kwa njia ya mrija.njia hii ni muhimu sana endapo ukitumia kwenye shamba lako la mifugo na kuleta matokeo Bora sana
UMUHIMU WA KUPANDISHA KWA NJIA YA MRIJA(ARTIFICIAL INSEMINATION)
โ Kuzuia magonjwa ya uzazi kwa wanyama wako mfano brucellosis
โhusaidia kupunguza gharama ambazo ungeweza kutumia nguruwe dume kwa ajili ya uzao
โkuzaaa mbegu Bora shambani kwako kwa sababu A.Ihusaidia kupata mbegu zilizobora sana
MBEGU TULIZONAZO HAPA
โDuroc
โpietrean
โp90
โlargewhite
Tumia njia ya kisasa ya upandishaji kwa mafanikio yako hapo baadae
Kwa mteja wa mpya atapata offer ya punguzo wahi ujipatie huduma bora
Kwa mawasiliano zaidi 0674740836
0792263640
Karibu sana