Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

Kwenye kuwachimba mkwara maafisa utumishi mchengerwa na mwenzake walikuwa msitari wa mbele. Ila sasa wamekaa kimyaaaaaa kama hawapo vile 😅😅
Mbona wengine tulisota karibu mwaka na hatukuona huo Mkwara?
Kwa kweli nimeipenda ya awamu hii haina longo longo
 
Mbona wengine tulisota karibu mwaka na hatukuona huo Mkwara?
Kwa kweli nimeipenda ya awamu hii haina longo longo
Wanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
 
Suala la kupandisha watu madaraja mnatakiwa muelewe kuwa linakwenda kwa kujiridhisha na sifa za wanaopandishwa. Hopefully mwezi ujao wengi watakua wamepandishwa. Tuache siasa kwenye utendaji.
Mwezi ujao ndio wengine sifa zao zitakuwa zimeiva eti?
 
Wanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
Sure.
Nilienda kwenye ofisi za hawa jamaa mara 2 naambiwa barua hazikuwa uploaded....
Ila kwa sasa washa upload kwa 100%
 
Wanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
Kasoro ndogo ndogo idara mzima wapate ongezeko kasoro mmoja au wawili halafu boss anaulizwa anajibu kunya? Jumatatu uniambie " tunakusubiri ukawafundishe JINSI ya kutumia xxx." Kama ni Mimi mwezi huu wote msinitumie maana litakalotokea tusinilaumiane, maanake nishavurugwa
 
Kwani watakaopewa mwezi wa saba watapata na arreas ya mwezi wa sita......nafikiri kuna maafisa utumishi ambao wamekithiri kwa uzembe wa kushughulikia mambo mapema na kwa usahihi, ngoja tuone.....
 
Kama wameshaanza kupandisha ni habari njema.. Subira yavuta kheri...
 
Mkuu kwani ni mara yako ya kwanza kupanda daraja? Kama ndiyo basi subiri utaona nyongeza ya mshahara na baada ya hapo utadai malimbikizo ya nyongeza ya mshahara. Tuwe na moyo wa kushukuru tulikotoka ni giza mama ameleta mwanga.
 
Hivi umesoma na kuelewa nilichoandika?!
 
Hawa maafisa utumishi hasa wa hapa manispaa ya Morogoro wanatakiwa waondoke kwenye ile ofisi ya umma,wale wadada wanajisikia sana,
 
Back
Top Bottom