MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Mbona wengine tulisota karibu mwaka na hatukuona huo Mkwara?Kwenye kuwachimba mkwara maafisa utumishi mchengerwa na mwenzake walikuwa msitari wa mbele. Ila sasa wamekaa kimyaaaaaa kama hawapo vile 😅😅
Kwa kweli nimeipenda ya awamu hii haina longo longo