Mbona wengine tulisota karibu mwaka na hatukuona huo Mkwara?Kwenye kuwachimba mkwara maafisa utumishi mchengerwa na mwenzake walikuwa msitari wa mbele. Ila sasa wamekaa kimyaaaaaa kama hawapo vile π π
Wanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikiaMbona wengine tulisota karibu mwaka na hatukuona huo Mkwara?
Kwa kweli nimeipenda ya awamu hii haina longo longo
Mwezi ujao ndio wengine sifa zao zitakuwa zimeiva eti?Suala la kupandisha watu madaraja mnatakiwa muelewe kuwa linakwenda kwa kujiridhisha na sifa za wanaopandishwa. Hopefully mwezi ujao wengi watakua wamepandishwa. Tuache siasa kwenye utendaji.
Sure.Wanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
Kasoro ndogo ndogo idara mzima wapate ongezeko kasoro mmoja au wawili halafu boss anaulizwa anajibu kunya? Jumatatu uniambie " tunakusubiri ukawafundishe JINSI ya kutumia xxx." Kama ni Mimi mwezi huu wote msinitumie maana litakalotokea tusinilaumiane, maanake nishavurugwaWanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
Naamini usiku huu mtakula chakula vizuriπππ..by the way hongereni.Natoa pongezi kwa serikali ya awamu ya sita kwa kunipandisha daraja Mimi na mke wangu.
Zidumu fikira za mwenyekiti wa chama!!!!
SanaWanajitahidi sana hata kama kuna kasoro kadhaa ndogondogo naamimi watazishughulikia
Hivi umesoma na kuelewa nilichoandika?!Mkuu kwani ni mara yako ya kwanza kupanda daraja? Kama ndiyo basi subiri utaona nyongeza ya mshahara na baada ya hapo utadai malimbikizo ya nyongeza ya mshahara. Tuwe na moyo wa kushukuru tulikotoka ni giza mama ameleta mwanga.