Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Mkuu zungumzia na Taliban,Pakistan,Iran na Iraq kule pia marekan hamna unacho sema marekan ni wahuni na wengi wana target zao ukiangalia interests ni tofauti kabisa huwez sema ni magaidi, mtu anakisasi na mwenzie/kundi basi wana pigana shaba. Ila marekan hawalipui malls, public transport, makanisa, shule, etc the vice versa is happening in Islamic countries

Usitake kupaka upepo rangi
We umenielewa kweli?

Nimesema matukio ya mtu kushambulia watu kwa risasi na kuuwa hutokea sana tu huko Marekani lakini hayo matukio hayahusishwi na ugaidi kwa sababu wahalifu wenyewe hawakuwa waislamu tofauti na tukio la jana Tz la yule jamaa kushambulia polisi kwa silaha ambalo teyari watu washahusisha na ugaidi kwa sababu mhalifu mwenyewe ni muislamu.
 
Kwa walinzi wetu magaidi ni wachumba tu. Kumbuka walivyojalibu Kibiti na Mtwara walifyekwa na wakaufyata. Thamini chako mkuu
ulikuwepo ubalozi wa marekani ulivyolipuliwa? au ulikua bado hujazaliwa
 
Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.
Nakwambia hivi ili ukubalike vizuri kuwa wewe ni gaidi lazima uwe muislamu, mfano mzuri hata wewe hapo mkuu hujajua hasa sababu ya huyo jamaa kushambulia polisi na kuwauwa ila kwa sababu umeona huyo jamaa ni muislamu basi umehitimisha kuwa ni gaidi. Kwahiyo lazima tukubali tu kuwa tumeshajikaririsha kuwa ili tukuone wewe kuwa ni gaidi basi lazima uwe muislamu.
 
Ndio maana tuhuma zinazo mkabili Mbowe wengi wanazipinga kwa kuelewa vibaya au kutafsiri vibaya maana ya Ugaidi.
Gaidi anaweza kuwa mtu yeyote yule.
Mbowe yeye anadaiwa kuwatumia vijana walio fukuzwa jeshini ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali.
 
Mbowe aliwatumia aliwatumia;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
Aliwatumia kuua au kumlinda binafsi?

Kama kuua,taja waliouawa. Vinginevyo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ata mbwa anakuzidi mbali sana
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
WAMESOMBA FAMILIA NZIMA LAKINISIDHANI KAMA WATAPATA JIBU LA MOJAKWAMOJA KUWA JAMAA ALIKUWA NA LENGO GANI UKUTE FAMILIA NI WATU WEMA TU KAWAHARIBIAHUYO MTOTO WAO ILA ANGEKUWA MZIMA ANGEELEZA ALIKUWA ANATAKA NINI
 
Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.

Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Ma Chadema bwana, kila kitu tushirikishe watu wa nje. Ipo siku hats mwenyekiti wenu mtamtoa nje ya nchi.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
 
Saccos hawataki ushahidi
Lini hamza tunamzika na bendera ya ccm,hamza katupa maana ya ugaidi siro kakosa pozi dadekii
Screenshot_20210826-093533_Twitter.jpeg
 
D
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
U KAMA NI KWELI HAO WANAJESHI WALIKUWA WAMEFUKUZWAKWA UGAIDI BASI MBOWE KAZI ANAYO KESI NGUMU
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Vijana wadogo wanakufa kwa tamaa zao za kutaka hela haraka haraka
IMG-20210826-WA0001.jpg
 
Ukitazama picha yake ya leo barabarani muonekano wa ngozi yake ni ama alishinda ndani ya nyumba siku kibao bila kupigwa na jua kali au alikuwa nje ya nchi ambapo kuna baridi huku hakuna mwanga wa jua.

Waswahili (coloured people) wakienda nchi za kaskazini muonekano wa ngozi yao ni tofauti na sisi tunaoshinda ktk nchi za tropiki zenye miali mikali ya jua na joto.

Je gaidi huyu wa CCM alisafiri kwenda nchi zipi na alipita katika border post zipi za mipakani na ktk airport gani za nchini Tanzania na alisafiri kwenda nje kwa shughuli gani?

Yule dogo ni mfanyabiashara wa madini, ana mgodi Chunya Mbeya aliyourithi kutoka kwa baba yake. Alienda maeneo ya Masaki kuuza madini. Polisi walitaka kitu kidogo kutoka kwake ila game ikabadilika wakampora madini. Kilichotokea ndicho hicho dogo akawamiminia askari na shida yake alishasema ni askari tu wamrudishie madini yake ndiyo maana hakushughulika na raia.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
Hati ya mashtaka haisemi ivyo. Ushahidi wa hoja ya laki 6 hauthibitishi ulichoandika.

Kwa hiyo hapo ndipo ujinga wako unapoanzia
 
We umenielewa kweli?

Nimesema matukio ya mtu kushambulia watu kwa risasi na kuuwa hutokea sana tu huko Marekani lakini hayo matukio hayahusishwi na ugaidi kwa sababu wahalifu wenyewe hawakuwa waislamu tofauti na tukio la jana Tz la yule jamaa kushambulia polisi kwa silaha ambalo teyari watu washahusisha na ugaidi kwa sababu mhalifu mwenyewe ni muislamu.
Yule ni gaidi aliyepania kuterrorise (kutia hofu) jamii ya polisi bila kujali yupi kamfanyia ubaya au yupi hahusiki. Hakuwa akilenga polisi fulani mwenye ugomvi naye kulipiza kisasi. Hakuwa na lengo la kuiba au kunyang’anya.

Ugaidi ni Kuua/kujeruhi jamii fulani kwa lengo la kuwatia hofu kubwa na kuvuruga shughuli na maisha yao kwa ujumla. Sio mashambulizi yote ya risasi ni ya kigaidi hata yakiwa mengi. Lengo ndilo hubainisha ugaidi au la.

Polisi waanze kukaa chonjo. Watanzania wengi ni watu wema lakini sio wote ni “wapole”. Yule ni mmoja tu tena kajiendea recklessly. Sasa kizazi kipya kinaingia taratibu. Siku kagenge ka “vichaa” wawili watatu hivi walionyanyaswa na polisi wakiamua kufanya maangamizi kwenye target maalum itakuwa tabu sana.
 
Hiki ndo hoja yenye akili
 
Tusitumie siasa kwenye matukio ya kiharamia kama haya kuwa mtu huyu katokea chama fulani kwani hakutumwa na chama wala kikundi cha chama pengine ni mihemko yake binafsi imemsukuma kutoa ujumbe kwa watu fulani lakini mimi sijui aiseee!!!.
 
Back
Top Bottom