dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... Tena watasema alipokea muamala wa laki 6...au wakasema wamepekua simu yake huyo bazazi na wamekuta alikuwa na mawasiliano na mbowe....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Tena watasema alipokea muamala wa laki 6...au wakasema wamepekua simu yake huyo bazazi na wamekuta alikuwa na mawasiliano na mbowe....!!
We umenielewa kweli?Mkuu zungumzia na Taliban,Pakistan,Iran na Iraq kule pia marekan hamna unacho sema marekan ni wahuni na wengi wana target zao ukiangalia interests ni tofauti kabisa huwez sema ni magaidi, mtu anakisasi na mwenzie/kundi basi wana pigana shaba. Ila marekan hawalipui malls, public transport, makanisa, shule, etc the vice versa is happening in Islamic countries
Usitake kupaka upepo rangi
Mbowe aliwatumia aliwatumia;Huyu mwanachama wa CCM kaua kwa ugaidi wake,taja watu aliowaua Mbowe.
ulikuwepo ubalozi wa marekani ulivyolipuliwa? au ulikua bado hujazaliwaKwa walinzi wetu magaidi ni wachumba tu. Kumbuka walivyojalibu Kibiti na Mtwara walifyekwa na wakaufyata. Thamini chako mkuu
Nakwambia hivi ili ukubalike vizuri kuwa wewe ni gaidi lazima uwe muislamu, mfano mzuri hata wewe hapo mkuu hujajua hasa sababu ya huyo jamaa kushambulia polisi na kuwauwa ila kwa sababu umeona huyo jamaa ni muislamu basi umehitimisha kuwa ni gaidi. Kwahiyo lazima tukubali tu kuwa tumeshajikaririsha kuwa ili tukuone wewe kuwa ni gaidi basi lazima uwe muislamu.Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.
Ndio maana tuhuma zinazo mkabili Mbowe wengi wanazipinga kwa kuelewa vibaya au kutafsiri vibaya maana ya Ugaidi.Nakwambia hivi ili ukubalike vizuri kuwa wewe ni gaidi lazima uwe muislamu, mfano mzuri hata wewe hapo mkuu hujajua hasa sababu ya huyo jamaa kushambulia polisi na kuwauwa ila kwa sababu umeona huyo jamaa ni muislamu basi umehitimisha kuwa ni gaidi. Kwahiyo lazima tukubali tu kuwa tumeshajikaririsha kuwa ili tukuone wewe kuwa ni gaidi basi lazima uwe muislamu.
Aliwatumia kuua au kumlinda binafsi?Mbowe aliwatumia aliwatumia;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
WAMESOMBA FAMILIA NZIMA LAKINISIDHANI KAMA WATAPATA JIBU LA MOJAKWAMOJA KUWA JAMAA ALIKUWA NA LENGO GANI UKUTE FAMILIA NI WATU WEMA TU KAWAHARIBIAHUYO MTOTO WAO ILA ANGEKUWA MZIMA ANGEELEZA ALIKUWA ANATAKA NINIHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Ma Chadema bwana, kila kitu tushirikishe watu wa nje. Ipo siku hats mwenyekiti wenu mtamtoa nje ya nchi.Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........
Mrushie na hela kabisa taifa liingize tozoHiyo namba natamani nijaribu kuipiga[emoji848][emoji848][emoji848]
Lini hamza tunamzika na bendera ya ccm,hamza katupa maana ya ugaidi siro kakosa pozi dadekiiSaccos hawataki ushahidi
U KAMA NI KWELI HAO WANAJESHI WALIKUWA WAMEFUKUZWAKWA UGAIDI BASI MBOWE KAZI ANAYO KESI NGUMUMbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
Vijana wadogo wanakufa kwa tamaa zao za kutaka hela haraka harakaHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Ukitazama picha yake ya leo barabarani muonekano wa ngozi yake ni ama alishinda ndani ya nyumba siku kibao bila kupigwa na jua kali au alikuwa nje ya nchi ambapo kuna baridi huku hakuna mwanga wa jua.
Waswahili (coloured people) wakienda nchi za kaskazini muonekano wa ngozi yao ni tofauti na sisi tunaoshinda ktk nchi za tropiki zenye miali mikali ya jua na joto.
Je gaidi huyu wa CCM alisafiri kwenda nchi zipi na alipita katika border post zipi za mipakani na ktk airport gani za nchini Tanzania na alisafiri kwenda nje kwa shughuli gani?
Hati ya mashtaka haisemi ivyo. Ushahidi wa hoja ya laki 6 hauthibitishi ulichoandika.Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
Yule ni gaidi aliyepania kuterrorise (kutia hofu) jamii ya polisi bila kujali yupi kamfanyia ubaya au yupi hahusiki. Hakuwa akilenga polisi fulani mwenye ugomvi naye kulipiza kisasi. Hakuwa na lengo la kuiba au kunyang’anya.We umenielewa kweli?
Nimesema matukio ya mtu kushambulia watu kwa risasi na kuuwa hutokea sana tu huko Marekani lakini hayo matukio hayahusishwi na ugaidi kwa sababu wahalifu wenyewe hawakuwa waislamu tofauti na tukio la jana Tz la yule jamaa kushambulia polisi kwa silaha ambalo teyari watu washahusisha na ugaidi kwa sababu mhalifu mwenyewe ni muislamu.
Hiki ndo hoja yenye akiliYule ni gaidi aliyepania kuterrorise (kutia hofu) jamii ya polisi bila kujali yupi kamfanyia ubaya au yupi hahusiki. Hakuwa akilenga polisi fulani mwenye ugomvi naye kulipiza kisasi. Hakuwa na lengo la kuiba au kunyang’anya.
Ugaidi ni Kuua/kujeruhi jamii fulani kwa lengo la kuwatia hofu kubwa na kuvuruga shughuli na maisha yao kwa ujumla. Sio mashambulizi yote ya risasi ni ya kigaidi hata yakiwa mengi. Lengo ndilo hubainisha ugaidi au la.
Polisi waanze kukaa chonjo. Watanzania wengi ni watu wema lakini sio wote ni “wapole”. Yule ni mmoja tu tena kajiendea recklessly. Sasa kizazi kipya kinaingia taratibu. Siku kagenge ka “vichaa” wawili watatu hivi walionyanyaswa na polisi wakiamua kufanya maangamizi kwenye target maalum itakuwa tabu sana.