Nikikumbuka ya Dr.Mvungi,nakubalina naweWanaweza wakapata ilani ya kile chama kwny hio nyumba.
Utasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
Askari walimnyuka shaba za takoni huyu
Wanaweza wakapata ilani ya kile chama kwny hio nyumba.
Ukute ana udugu na Bashe.Marehemu ni mtoto wa kishua
Huu ndio wakati muafaka wa Chadema kufanya makongamano ya katiba mpya!Askari wakiguswa wao huwa wanakuwa serious, nikikumbuka case ya libetatus barlow wa mwanza napata picha
Mbowe anaweza kuwa na makandokando yake kama binadamu mwingine yeyote, even me nina makandokando yangu, ila hawezi kuwa connected na yule kichaa, Mbowe is a smart guy, hilo tutalipinga kwa nguvu zoteUtasikia Gaidi Mbowe ana connection na Hamza wakati kumbe kada wa ccm
Why Madam?Ukute ana udugu na Bashe.
HakikaMbowe anaweza kuwa na makandokando yake kama binadamu mwingine yeyote, even me nina makandokando yangu, ila hawezi kuwa connected na yule kichaa, Mbowe is a smart guy, hilo tutalipinga kwa nguvu zote
Usiseme hivyo, siamini uwezo wa Polisi wetu. Wakisikia ulichosema wanaweza kumkamata Bashe na kumweka ndani kwa kufanana na huyu jamaa!Ukute ana udugu na Bashe.
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo .
Ngoja tuendelee kutega sikio
View attachment 1908119
Hili jambo ni kubwa Mkuu, chochote kinachoweza kusaidia kwenye upelelezi kitatumika!View attachment 1908146
Kwa akili mbovu ya Polisi wetu, sintashangaa kusikia watu wote hawa waliopiga picha na huyu jamaa wamekamatwa wako ndani "kuisaidia Polisi"
Ndio maana nilikuwa nashangaa hizo silaha kazipata wapi kumbe ni kada wa ccmKumbe ni mccm?!
Kwa walinzi wetu magaidi ni wachumba tu. Kumbuka walivyojalibu Kibiti na Mtwara walifyekwa na wakaufyata. Thamini chako mkuuWacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........