Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hili tukio kusema ukweli linanitia mashaka sana yani nahisi kabisa kama kuna kitu kinatafutwa hapa na kuna mtu anataka kuangushiwa jumba bovu.
Bado nasema kuwaachia wale uhamsho lilikuwa kosa kubwa na la haraka sana na kusema fulani ni gaidi na kwa mazingira yalivyo kwakweli ni kama tulikuwa tunaomba magaidi waje na wamekuja ...
Hili tukio sio la ujambazi hakuna ujambazi wowote hii ni terror act kabisa na huu ndio ugaidi wenyewe....sio kuwaita wengine magaidi.