Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kazi tu ndio mbunifuNinatazama jinsi mji wa Dodoma ulivyopangwa na namna viwanja vya makazi vinavyopimwa kwa masikitiko makubwa. Viwanja vingi vinavyopimwa ni vidogo mno kwa mahitaji ya makazi ya kizazi cha sasa. Ninachojiuliza: uchafu huu unafanywa kwa maslah ya nani?
Mara nyingine haihitaji kwenda nje kujifunza jambo. Hata pale Dodoma viwanja vilivyopimwa zamani ni vijubwa , maajab ni huu upimaji wa sasa20 kwa 20m ndio kipimo Chao huwa najiuliza watu wa mipango miji huwa hawaendi nje kuona jinsi wenzetu walivyopanga miji yao na kujifunza