Upangaji na upimaji wa viwanja vya makazi jiji la Dodoma ni maslah ya nani?

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Ninatazama jinsi mji wa Dodoma ulivyopangwa na namna viwanja vya makazi vinavyopimwa kwa masikitiko makubwa. Viwanja vingi vinavyopimwa ni vidogo mno kwa mahitaji ya makazi ya kizazi cha sasa. Ninachojiuliza: uchafu huu unafanywa kwa maslah ya nani?
 
Hapa kazi tu ndio mbunifu
 
Halafu wala hawazingatii utunzaji wa mazingira kwa kuweka shelterbelts na windbreaks zinazoweza kuzuia upepo na kutunza mazingira
 
20 kwa 20m ndio kipimo Chao huwa najiuliza watu wa mipango miji huwa hawaendi nje kuona jinsi wenzetu walivyopanga miji yao na kujifunza
 
20 kwa 20m ndio kipimo Chao huwa najiuliza watu wa mipango miji huwa hawaendi nje kuona jinsi wenzetu walivyopanga miji yao na kujifunza
Mara nyingine haihitaji kwenda nje kujifunza jambo. Hata pale Dodoma viwanja vilivyopimwa zamani ni vijubwa , maajab ni huu upimaji wa sasa
 
Kwa kweli sijui wanafanya haya kwa maslahi ya nani, wangeiga upimaji wa viwanja vya zamani area D na C ambavyo vingi ni low density.
 
Kati ya wafanyakazi wapuuzi ni hao mipango miji. Jinga sana hao majamaa

Ila wizara ipo inaangalia tuuuuuu;
KMeya wa Jiji ni mbobezi............
 
Kati ya wafanyakazi wapuuzi ni hao mipango miji. Jinga sana hao majamaa

Ila wizara ipo inaangalia tuuuuuu;
Meya wa Jiji ni mbobezi............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…