Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

Kama hali ni iyo mbaya kiuchumi, Basi inamaana viongozi hawalioni ilo kuwa litaua kabisa ata mapenzi kwa mashabiki wachache walionao na kupoteza matumaini kabisa maana baada ya kujitahidi kuzileta timu Zanzibar wawavute watu na kujenga upenzi wa wasiopenda mpira kuvutika kwenda kuona team za kigeni ila wao hawafanyi ivi,, Yaani ata km uchumi mbaya ila iyo sio njia sahihi ya kujipatia pesa
 

Mkuu hela ikiwa imekata kabisa formula inapotea, mana kila kitu kinakuwa ni hasara. hasara ikishakuwa kubwa hata akili zinashindwa kufanya kazi tena. Popularity ya Yanga na Simba inaebeba sana ligi ya Bara, bila ya hivo pia hali nayo ingekuwa mabaya sana.
 
Umeona apo tunaongelea Club za Zanzibar lakini automatically tu umezitaja club za bara na mpira wa Tanzania kwa ujumla,,Na huu ndio ubaya wenyewe ambao wanautengeneza yaani uchafu hautochafua tu Uhamiaji FC hapana bali itachafua soka zima na club zote za Tanzania.kwa ujumla. Na ili ndio viongozi awa hawaoni na kama litakaliwa kimya basi madhara makubwa sana yatatokea mbeleni
 
Makobazi inapofika kwa Maarabu huwa wanatepeta sana. Hapo wanashikwa hata makalio wanacheka tu...wameshikwa na wajukuu wa mtume....


Sio Uhamiaji tu hata JKU mechi zake zote mbili dhidi ya Pyramids kaamua kuchezea Misri.
 
Hata wangekataa unafikili wangefika wapi Heli kama wamechukua chao mapema sababu Zanzibar wenyewe ligi Yao kimeo
Sijui sana Kwa waislamu wa nchi zingine dhidi ya waarabu, lakini Kwa hapa Tz hasa Zanzibar, waislamu wa hapa kwetu humuona mwarabu Kwa image ya mtume wao. Hivyo Kwa Mzanzibar lolote linalotamkwa au kufanywa na mwarabu kwao ni kama kasema mtume na kwao ni kama ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…