Upangaji wa matokeo

Upangaji wa matokeo

Lini ulisikia kwenye interview kocha anahojiwa kisha akatoa shutuma kuwa tumefungwa kwasababu ya timu ilipewa rushwa? Kwani kocha na wachezaji au marefa hawawezi kupewa rushwa ili wafungwe. Yaani wewe ndio akili matope kabisa huwezi kuufungua akili yako ipasavyo.

Kuthibitisha pre match party kama inaamvatana na matokeo.

Nakuuliza swali je inawezekana vipi mzazi kuandaa sherehe ya kumpongeza mtoto wake kufanya vizuri ikiwa mtoto mwenyewe hajafanya bado huo mtihani? Kufanya hivyo maanake mzazi ameiba mitihani hivyo ana uhakika wa kufaulu mwanae kabla huo mtihani hajaufanya.

Nauliza tena kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo party kule Sumbawanga?

Wewe bozozo kweli! Unatoa mifano ambayo haina uhusiano kabisa na wala haina kichwa wala miguu!
Zinafanyika mahafali kwa ajili ya kuwapongeza watoto ilihali bado hawajafanya mitihani, so mitihani inaibwa siyo?
...tena mfano nina uhakika wewe kabla hujahitimu kidato cha nne/sita ulifanyiwa mahafali na kupongezwa na wazazi kabla ya kufanya mtihani! Je uliiba mtihani?
Kipindi hiki wanafunzi wanaotarajia kuanza mitihani ya kidato cha nne wanafanyiwa mahafali na kupongezwa pamoja na kupewa zawadi kama motisha n.k je, mitihani wameiona?
Utopolo kwelikweli wewe tena, koro square, ama tukuite zero brain!
Simba kufanya pre match party au kutokufanya ni mipango tu!
Halafu, je ni kwa nini usingeleta uzi wako kuwa kuna link ya rushwa na pre match party kabla ya match kuchezwa, unasubiri match then wivu na husuda plus kijicho kinakutoka baada ya mtu kulambwa wiki, ambapo nyie utopolo mlicheza nao tena mkiwa kamili mkawapiga goli tatu tena kwa kubebwa kulikokuwa wazi kabisa!

Haya hebu tuambie simba imecheza match ngapi mikoani ukiacha hiyo ya Prison na imefanya pre match party ngapi na matokeo yake yakawaje!

Na kama katika hizo pre match kuna rushwa, tueleze wazi hapa ni akina nani hao walihongwa, na ni nani aligawa hizo rushwa, wakati gani na ni njia ipi ilitumika na kama ni fedha utueleze ni kiasi gani! Endapo huwezi kuweka hivyo vielelezo hapa, basi peleka kwenye vyombo husika na kisha leta mrejesho hapa kuwa tayari umeshapeleka huko, ili tuweze kupata mrejesho wa hizo hoja zako za kiutopolo kutoka kwa wenye mamlaka.
Wakati unajibu, ukae kwa kutulia na siyo ujibu kwa kupanic kama navyokuona ulivyopanic hapa! Sawa bwana utopolo!?
Kwa hisani ya yule aliyewaita ma[emoji205][emoji87][emoji87]!
 
Hujajibu maswari niliyo uliza!!
1. Kivip kufanya pre match party iwe sababu ya upangaji huo!? Una hakika gani match nyingine simba hakufanya party?
2. Je simba kushinda dhidi ya timu nyingine ni upangaji wamatokeo?, vip kufungwa haiwez kuwa upangaji wa matokeo pia?
3. Simba hatakiwi kushinda?

NAOMBA UJIBU HAYO MASWARI KWA UFASAHA USIO NA UKAKASI!!!!!

Swali lako la kwanza nimekujibu vyema kabisa. Party inaenda sambamba na matokeo ya uwanjani. Huwezi kuandaa party halafu mwisho wa siku uwanjani unapoteza point. Hivyo Simba walikuwa na uhakika wa 100% kuwa wanaenda kuwin mechi kwa namna yeyote ile. Na ndio maana hakukuwa na tangazo la kuwepo party Sumbawanga.

2. Simba kufungwa kutahesabika matokeo yamepangwa endapo itaonekana viashiria vya upangaji wa matokeo. Kama viashiria vyovyote basi hatuwezi kuhesabu kuwa ni matokeo ya kupangwa.

3. Sikusema popote kuwa Simba hapaswi kushinda bali nimeongelea kutanguliwa kwa kutangazwa kwa party kabla ya matokeo ya uwanjani.
Ingelikuwa Sumbawanga wangetangaza party basi ningeamini kuwa ni destuli yenu mpya kutangaza party mikoani ili kuwa karibu na washabiki wenu. ila kutofanya hivyo na mechi mkashindwa kupata matokeo kuna nipa wasiwasi wa Simba kushiriki upangaji wa matokeo
 
Hoja sio coastal kufungwa magoli mangapi. Hoja ni kwanini inapotangazwa Simba kufanya party mikoani aidha baada ya mechi ama kabla ya mechi, basi ni lazima Simba wapate matokeo ya magoli 4+ hapa uoni kama siri inayotangulia kabla ya mechi? Ni ngumu sana kuandaa party ikiwa hujui matokeo ya mechi itakuaje kwasababu endapo matokeo yatakuwa ni baada ni wazi washabiki hawatokuwa na morali ya kuudhulia party. Na hata ikiwa party itatangulia kabla ya mechi kisha mechi ikaisha pasipo kupata matokeo basi bila shaka mashabiki lazima watalaumu kwa kufocus katika party badala ya mechi.
Kuandaa sherehe ya matokeo kabla ya mpira kuchezwa kuna dalili kubwa ya kuwepo kwa rushwa ya upangaji matokeo.
hivi inakuwaje mtu anaweza kuandika mambo yote haya lakini hatumii akili. mkuu natumia maneno makali kwa sababu unadhalilisha jukwaa. Hoja za hovyo kama hizi waachie fb.
 
Sasa na nyie utopola andaeni pre party match mnapoenda mikoani ili mpate na nyie magoli 2+ tena ya haraka kipindi cha kwanza na overall 4+ goals!
 
Wewe bozozo kweli! Unatoa mifano ambayo haina uhusiano kabisa na wala haina kichwa wala miguu!
Zinafanyika mahafali kwa ajili ya kuwapongeza watoto ilihali bado hawajafanya mitihani, so mitihani inaibwa siyo?
...tena mfano nina uhakika wewe kabla hujahitimu kidato cha nne/sita ulifanyiwa mahafali na kupongezwa na wazazi kabla ya kufanya mtihani! Je uliiba mtihani?
Kipindi hiki wanafunzi wanaotarajia kuanza mitihani ya kidato cha nne wanafanyiwa mahafali na kupongezwa pamoja na kupewa zawadi kama motisha n.k je, mitihani wameiona?
Utopolo kwelikweli wewe tena, koro square, ama tukuite zero brain!
Simba kufanya pre match party au kutokufanya ni mipango tu!
Halafu, je ni kwa nini usingeleta uzi wako kuwa kuna link ya rushwa na pre match party kabla ya match kuchezwa, unasubiri match then wivu na husuda plus kijicho kinakutoka baada ya mtu kulambwa wiki, ambapo nyie utopolo mlicheza nao tena mkiwa kamili mkawapiga goli tatu tena kwa kubebwa kulikokuwa wazi kabisa!

Haya hebu tuambie simba imecheza match ngapi mikoani ukiacha hiyo ya Prison na imefanya pre match party ngapi na matokeo yake yakawaje!

Na kama katika hizo pre match kuna rushwa, tueleze wazi hapa ni akina nani hao walihongwa, na ni nani aligawa hizo rushwa, wakati gani na ni njia ipi ilitumika na kama ni fedha utueleze ni kiasi gani! Endapo huwezi kuweka hivyo vielelezo hapa, basi peleka kwenye vyombo husika na kisha leta mrejesho hapa kuwa tayari umeshapeleka huko, ili tuweze kupata mrejesho wa hizo hoja zako za kiutopolo kutoka kwa wenye mamlaka.
Wakati unajibu, ukae kwa kutulia na siyo ujibu kwa kupanic kama navyokuona ulivyopanic hapa! Sawa bwana utopolo!?
Kwa hisani ya yule aliyewaita ma[emoji205][emoji87][emoji87]!
Mahafali ni kwaajili ya kupongeza watoto au wanafunzi kumaliza level fulani. Na wala sio kupongeza mtu kwa matokeo fulani. Sasa nipe mantiki yenu ya kufanya party ni ipi ikiwa timu itashindwa kupata matokeo uwanjani?
 
hivi inakuwaje mtu anaweza kuandika mambo yote haya lakini hatumii akili. mkuu natumia maneno makali kwa sababu unadhalilisha jukwaa. Hoja za hovyo kama hizi waachie fb.

Anaona ameandika bonge la uzi!
Huyu dogo, hovyo kabisa, halafu utakuta mtaani huko anajitapa unajua mimi kule jf kila mtu ananijua nikianzisha uzi natikisa jf nzima!
 
Simba imecheza dhidi ya Ihefu kisha dhidi ya Mtibwa. Hapa kulikuwa na manung'uniko mengi sana juu ya performance ya Simba inapocheza mikoani. Kamfunga ihefu kwa mbinde kisha katoa sare na Mtibwa. Game inayofuata Simba anaenda dodoma ikatangazwa party Simba anapata matokeo ya ushindi mnono mkoani wa magoli 4 kwa sifuri dhidi ya Jkt Tanzania.

Baada ya hapo ikafatia mechi dhidi ya prison
Hakukuwa na tangazo la sherehe ya party. Simba wanapoteza mechi.

Mechi ya pili ya pili iliyotangazwa sherehe ya party kabla hata ya mechi ni hii dhidi ya Coastal union na coastal wanafungwa goli Saba.
Party zote zimeleta magoli 3+
 
Anaona ameandika bonge la uzi!
Huyu dogo, hovyo kabisa, halafu utakuta mtaani huko anajitapa unajua mimi kule jf kila mtu ananijua nikianzisha uzi natikisa jf nzima!
Huwezi kuelewa kwasababu una mahaba ya utimu. ila huwezi kuandaa party ikiwa hauna uhakika wa matokeo unayoenda kuyatengeneza uwanjani
 
Mahafali ni kwaajili ya kupongeza watoto au wanafunzi kumaliza level fulani. Na wala sio kupongeza mtu kwa matokeo fulani. Sasa nipe mantiki yenu ya kufanya party ni ipi ikiwa timu itashindwa kupata matokeo uwanjani?

Hujajibu hoja ya msingi!
Badala yake unakimbilia kuuliza viswali visivyo na kichwa wala miguu!
Umeulizwa, kama pre match party iliambatana na rushwa ambayo imepelekea kwa timu kupata ushindi mkubwa, thibitisha madai yako kwa kueleza wahusika ni nani!
Kwamba kama ulijua kuna rushwa ni kwa nini usingeleta uzi wako wa hizi tuhuma kabla ya mechi?
Na je ni nani alitoa hizo rushwa, zikaenda kwa nani, wakiwa wapi, saa ngapi, katika mfumo gani na hiyo rushwa kama ni fedha ilikuwa kiasi gani, na lengo ni nani afanye nini ili simba ashinde goli nyingi au za mapema zaidi!?
Tupe vielelezo visivyo na shaka na siyo hizo bla bla zako za sijui ingekuwa desturi basi pre party match ingefanyika pia Sumbawanga!
 
Halafu utopolo mnapolalamika caf wametoa orodha ya timu bora afrika, Simba pamoja na kushuka wameshika nafasi ya 23 lakini upotolo hawaonekani kabisa sijui wamebadirisha jina
 
Hujajibu hoja ya msingi!
Badala yake unakimbilia kuuliza viswali visivyo na kichwa wala miguu!
Umeulizwa, kama pre match party iliambatana na rushwa ambayo imepelekea kwa timu kupata ushindi mkubwa, thibitisha madai yako kwa kueleza wahusika ni nani!
Kwamba kama ulijua kuna rushwa ni kwa nini usingeleta uzi wako wa hizi tuhuma kabla ya mechi?
Na je ni nani alitoa hizo rushwa, zikaenda kwa nani, wakiwa wapi, saa ngapi, katika mfumo gani na hiyo rushwa kama ni fedha ilikuwa kiasi gani, na lengo ni nani afanye nini ili simba ashinde goli nyingi au za mapema zaidi!?
Tupe vielelezo visivyo na shaka na siyo hizo bla bla zako za sijui ingekuwa desturi basi pre party match ingefanyika pia Sumbawanga!
Hiyo hoja ya msingi hukuweka hapo juu ndio umeweka sasa ndio maana nikakuuliza swali. Sasa kwavile swali langu limetangulia kabla ya wewe kuuliza haya maswali ni vyema ungeanza kunijibu kile nilichokuuliza.
 
Screenshot_20201121-211940_Chrome.jpg

Party after party
 
Hiyo hoja ya msingi hukuweka hapo juu ndio umeweka sasa ndio maana nikakuuliza swali. Sasa kwavile swali langu limetangulia kabla ya wewe kuuliza haya maswali ni vyema ungeanza kunijibu kile nilichokuuliza.

Kutokuona hoja, huo ndio utopolo na ukilaza wako huo! Maanake hujaiona hiyo hoja kwa kuwa ilikuzidi uwezo ndio maana ukaenda off point!
Majibu ya ulichouliza tayari yanapatikana juu huko, sina haja ya kurudia! Kama hujaelewa rudi kasome niliyoandika awali, ukiona huelewi basi muonyeshe jirani yako mwanautopolo mwenye akili zaidi yako lakini, atakuelewesha!

Mengine unarohohoja tu, subirini mtakapopigwa na nyie wiki ndio mtasema simba imefanya pre match party vyema!
Hivi unakumbuka zile nne mlizopigwa utopolo kabla ya mechi simba ilifanya pre match party pale element ee?
 
Mahafali ni kwaajili ya kupongeza watoto au wanafunzi kumaliza level fulani. Na wala sio kupongeza mtu kwa matokeo fulani. Sasa nipe mantiki yenu ya kufanya party ni ipi ikiwa timu itashindwa kupata matokeo uwanjani?
Kuwaweka wachezaji pamoja, wafurahi pamoja ,wajisikie kumbe management iko pamoja nasi na inatuthamini na kututia moyo. Baada ya party ni morali uwanjani.
 
We jamaa unateseka sana, huna hoja hata kidogo yani vitu ulivyoviongea havina uhusiano hata kidogo.
 
1)Party ngapi zimetangazwa kabla ya mechi haijachezwa?
2) kwanini mlivyoenda Sumbawanga haikutangazwa party kabla ya mechi kama party ni kawaida yenu?
3) kwanini mkitangaza party mkoani basi kwenye mechi yenu kuna kuwa magoli zaidi ya mawili kipindi Cha kwanza?
Mkuu hiyo Ni fursa kwa waona fursa !
Simba Ni Brand kubwa,leo kuwa mjasiliamali pale Arusha ameiona fursa hiyo!
Yeye anapata na Simba inapata!
 
Wenzenu wamepeleka ushahidi huko kunakohusika wewe unakomaa na jf kwa kuleta mahaba yako,si upeleke ushahidi wako huko ili hatua stahiki zichukuliwe kwa wanaolibaka soka letu tuwe na soka bora kabisa
 
Lete ushahidi unaoeleweka, achana na maswala ya party..

Hizo ni assumption, simba imefanya party ngapi kwa misimu ni 3 mfululizo ??

Je party zote walizofanya walishinda nyingi..??

Na ukiendelea kusema hvyo bas hata ile mechi ya yanga na simba nusu fainali ya FA, baada ya mechi simba ilifanya party.. Kwavhyo hadi dhid ya yanga bsdo simba ilipanga matokeo
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
 
Back
Top Bottom