Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Lini ulisikia kwenye interview kocha anahojiwa kisha akatoa shutuma kuwa tumefungwa kwasababu ya timu ilipewa rushwa? Kwani kocha na wachezaji au marefa hawawezi kupewa rushwa ili wafungwe. Yaani wewe ndio akili matope kabisa huwezi kuufungua akili yako ipasavyo.
Kuthibitisha pre match party kama inaamvatana na matokeo.
Nakuuliza swali je inawezekana vipi mzazi kuandaa sherehe ya kumpongeza mtoto wake kufanya vizuri ikiwa mtoto mwenyewe hajafanya bado huo mtihani? Kufanya hivyo maanake mzazi ameiba mitihani hivyo ana uhakika wa kufaulu mwanae kabla huo mtihani hajaufanya.
Nauliza tena kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo party kule Sumbawanga?
Wewe bozozo kweli! Unatoa mifano ambayo haina uhusiano kabisa na wala haina kichwa wala miguu!
Zinafanyika mahafali kwa ajili ya kuwapongeza watoto ilihali bado hawajafanya mitihani, so mitihani inaibwa siyo?
...tena mfano nina uhakika wewe kabla hujahitimu kidato cha nne/sita ulifanyiwa mahafali na kupongezwa na wazazi kabla ya kufanya mtihani! Je uliiba mtihani?
Kipindi hiki wanafunzi wanaotarajia kuanza mitihani ya kidato cha nne wanafanyiwa mahafali na kupongezwa pamoja na kupewa zawadi kama motisha n.k je, mitihani wameiona?
Utopolo kwelikweli wewe tena, koro square, ama tukuite zero brain!
Simba kufanya pre match party au kutokufanya ni mipango tu!
Halafu, je ni kwa nini usingeleta uzi wako kuwa kuna link ya rushwa na pre match party kabla ya match kuchezwa, unasubiri match then wivu na husuda plus kijicho kinakutoka baada ya mtu kulambwa wiki, ambapo nyie utopolo mlicheza nao tena mkiwa kamili mkawapiga goli tatu tena kwa kubebwa kulikokuwa wazi kabisa!
Haya hebu tuambie simba imecheza match ngapi mikoani ukiacha hiyo ya Prison na imefanya pre match party ngapi na matokeo yake yakawaje!
Na kama katika hizo pre match kuna rushwa, tueleze wazi hapa ni akina nani hao walihongwa, na ni nani aligawa hizo rushwa, wakati gani na ni njia ipi ilitumika na kama ni fedha utueleze ni kiasi gani! Endapo huwezi kuweka hivyo vielelezo hapa, basi peleka kwenye vyombo husika na kisha leta mrejesho hapa kuwa tayari umeshapeleka huko, ili tuweze kupata mrejesho wa hizo hoja zako za kiutopolo kutoka kwa wenye mamlaka.
Wakati unajibu, ukae kwa kutulia na siyo ujibu kwa kupanic kama navyokuona ulivyopanic hapa! Sawa bwana utopolo!?
Kwa hisani ya yule aliyewaita ma[emoji205][emoji87][emoji87]!