Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma
Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja
Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika
Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha
Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani