Kwani BRT siyo barabara? Kuweni serious na comment zenu hizi.Ni waongo, iko sababu nyingine. Ule mradi kibao kinaonyesha kuwa ni upanuzi wa barabara ya Bagamoyo phase 2. Hakuna BRT pale wala maandalizi yake.
Hayo ni maboresho ya miundombinu yanayoendelea jijini kwa msaada wa benki ya duniaMorocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge Na kwenda kujazana Morocco.
Barabara ile ni heri ingejengwa barabara ya Nyerere kutoka Airport kuja Dar center, au barabara ya mandera kwenda bandarini.
Mkuu wa kuheshimiwa mkuu sanaa, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.ombi kwako mkuu tunatamani kuishi bagamoyo tafadhali tusaidie kujua ni wapi pazuri kuishi sehemu tofauti tofauti Bagamoyo tafadhali kama itakupendeza ifungulie uzi nawakilisha.Hayo ni maboresho ya miundombinu yanayoendelea jijini kwa msaada wa benki ya dunia
Umenipa heshima na jukumu zito .. Sehemu nzuri za kuishi bagamoyo zipo nyingi na ni zile ambazo wenyeji asili hawapoMkuu wa kuheshimiwa mkuu sanaa, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.ombi kwako mkuu tunatamani kuishi bagamoyo tafadhali tusaidie kujua ni wapi pazuri kuishi sehemu tofauti tofauti Bagamoyo tafadhali kama itakupendeza ifungulue uzi nawakikisha.
Asante
Barabara ya mandela kwasisi tuliokula chumvi kidogo tuliijua kwa jina la poti exesi rodi na nyerere road ilikuwa pugu rodiMorocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge Na kwenda kujazana Morocco.
Barabara ile ni heri ingejengwa barabara ya Nyerere kutoka Airport kuja Dar center, au barabara ya mandera kwenda bandarini.
Uraya.....Hii road itaifanya Dar iwe kama ulaya. Aisee yule jamaa kumbe alikua hatanii Dar kuwa kama ulaya
Watanzania my wasahaulifu sana.Mi kinachonishangaza ni muda unaotumika kujenga kipande kifupi kama hicho.
Ikumbukwe sherehe za uhuru za mwaka 2015 zilifutwa na hela zake zikaigizwa kwenye ujenzi huo.
Tangu uhai wa rais wa 5, mpaka sasa barabara hiyo bado inajengwa!!
Wajuvi mtuambie, kuna nini cha ziada hapo mpaka inatumika miaka zaidi ya mitano sasa kujenga kipande kifupi kama hicho!?
Usipozijua facts za miradi, mtu unaonekana kituko.Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma
Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja
Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika
Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha
Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani
Ile Barabara inajengwa kwa msaada wa WajapanMi kinachonishangaza ni muda unaotumika kujenga kipande kifupi kama hicho.
Ikumbukwe sherehe za uhuru za mwaka 2015 zilifutwa na hela zake zikaigizwa kwenye ujenzi huo.
Tangu uhai wa rais wa 5, mpaka sasa barabara hiyo bado inajengwa!!
Wajuvi mtuambie, kuna nini cha ziada hapo mpaka inatumika miaka zaidi ya mitano sasa kujenga kipande kifupi kama hicho!?
Upanuzi ule malengo yake sio BRT, kama lengo lingekuwa hilo lile daraja la juu LA waenda kwa miguu pale bondeni kuelekea tank bovu lisingejengwa vile. Lile daraja lazima ulivunje ili kujenga BRT, ujinga gani huu?Kwani BRT siyo barabara? Kuweni serious na comment zenu hizi.
Kuna dhambi kubwa inafanyika kwenye ujenzi huu, wafanyabiashara walioko kwenye njia hii hawafanyi biashara kwa miaka sita sasa baada ya maeneo yao kutoingilika kwa urahisi kwa magari, parking zao zimevurugwa bila sababu kwa miaka 6 sasa. Nilikuwa nikiweka mafuta pale Victoria petrol station sasa hivi nimehama, nilikuwa natumia BOA bank tawi LA Victoria sasa siendi pale tena, kuna biashara nyingi hazifanyi vizuri kando ya barabara ile kwa muda mrefu sasa kwaajili ya kuvurugwa kwa maegesho na njia za kuingia kwenye biashara zao kuzibwa.Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma
Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja
Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika
Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha
Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani
Hakuna njia ya barabara nane pale!
Aruu....!Maduhu hujambo
Brt in mradi unaanzia bibi titi hadi tegeta na upo kwenye detail designsNi waongo, iko sababu nyingine. Ule mradi kibao kinaonyesha kuwa ni upanuzi wa barabara ya Bagamoyo phase 2. Hakuna BRT pale wala maandalizi yake.
Kwa faida ya nyie mnao ishi masakiBora ungeuliza kuhusu daraja la salenda linajengwa Kwa faida ipi
Hahahaha ππππKwa faida ya nyie mnao ishi masaki