Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hapo kwenye WANZUKI nimecheka wew utakua unatokea lake zone 😊😊Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
Nimeelewa mkuuZipo sababu nyingi zinapelekea upasuaji kwa wajawazito iwe kama huduma ya kwanza.
1. mabadiliko ya kimfumo wa maisha inayopeleka wajawazito kuishi maisha "legelege" hivyo kutokua na nguvu za kutosha kusukuma mtoto...
Balikiwa kam uko sehemu ya kukuhakikisha mjamzito anajifungua salamaHuwa haifanyiki tu bila.sababu , kuhatarisha afya ya mama na mtoto sio vizuri ndio maana tukiona dalili sio nzuri ni bora uende na njia iliosalama zaidi kuliko kubeti, Halafu wamama.wengi hususani hawa prime ni wavivu mno wakati wa ujauzito hawachukui mazoezi ni uvivu tu ikija hatua ya kujifungua ndio balaaa lake mkunga unajikuta hadi jasho linakutoka wakati wa kumsaidia kujifungua.
Kila operation kuna commission au cha juu kwa madakitari, hivyo akiwa na cha juu mfano laki moja akifanya kumi ana Milion yake moja kwa mwezi, zikiwa 30 ana mil 3 etc.Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao.
UZOEFU WA UPASUAJI KWA MTU ASIYEHITAJI KUPASULIWA HII SIO HAKI KABISA.
Sawa ila sio ugomvi ni ktk kuwekana sawa tupeleka ushuzi uko!
hujui kitu ndugu
Inaumiza sana kwa huo udhaifu wa pande zote mbiliKila operation kuna commission au cha juu kwa madakitari, hivyo akiwa na cha juu mfano laki moja akifanya kumi ana Milion yake moja kwa mwezi, zikiwa 30 ana mil 3 etc.....
Mtoa mada sababu hizo hapo zimeelezwa vizuri tu ikiwezekana Uzi uishie hapaSababu zake ni TANO:-
. Upasuaji ni biashara, so madaktari wanashauri upasuaji kwa malengo ya kifedha zaid...
Hatujagusa kifo mkuu. naongelea upasuaji usio wa lazma mfano madaktari wachache kupasua ili wapate posho hata kwa mtu asiekuwa na hitaji hiloUjuaji mwingi sana wakifa mnalamika wakizalishwa wasife mnalia dah watz bana
mmmh haya banaMtoa mada sababu hizo hapo zimeelezwa vizuri tu ikiwezekana Uzi uishie hapa
Duuu, Ebhanaae🙄🙄Sababu zake ni TANO:-
. Upasuaji ni biashara, so madaktari wanashauri upasuaji kwa malengo ya kifedha zaidi.
. Wanawake wengi wanaogopa ku push. Wanahofia maumivu ya kuchanika.
. Wanawake wanajua kuzaa bila njia ya kawaida kunafanya K zao ziwe tight, zisiperepete,
. Wanawake wanatumiwa njia ya nyuma kungonoka. Hivyo wanajua Hawataweza kupush kwa kawaida maana nyuma kutakuwa kumelegea
. Zipo sababu za ki afya pia Ili hizo ni chache sana.
Madaktari wamepanic mkuu.Sawa ila sio ugomvi ni ktk kuwekana sawa tu
Hata me naona mkuuMadaktari wamepanic mkuu.
Wana majibu makali hao🙄
Asant sanPole chief, wenzako wako kazini ni biashara hio
Kwahiyo kujifungua mpaka kisu? Kuna siri nyingi nyuma ya wadada kutaka kujifungua kwa operation! Wengi hawana marinda kwa kuingiliwa kinyume na maumbile ya kwamba wakisukuma pressure inatoa "nnya" badala ya mtoto! Wengine hawataki kusikia maumivu/uchungu! Wengine tamaa ya hela ya operation, n.k! Hata hivyo operation sio nzuri kama unategemea kuzaa zaidi ya mara moja! Pia ulifanya tumbo kuwa kubwa! Tatu alama ya mshono uondoa mvuto wa mwonekano wa mwanamke!Kama wewe sio mtaalam wa afya na sio mwanamama basi nyamaza na uendelee kunywa wanzuki yako,
Acha sisi tushukuru vifo vya wamama na watoto vilivyopungua.
Watu hawaelewi mkuu wao wanachojua ni maokoto tu hizo hasara haziwahusu daaahKwahiyo kujifungua mpaka kisu? Kuna siri nyingi nyuma ya wadada kutaka kujifungua kwa operation! Wengi hawana marinda kwa kuungiliwa kinyume na maumbile ya kwamba wakisukuma pressure inatoa "nnya" badala ya mtoto! Wengine hawataki kusikia maumivu/uchungu! Wengine tamaa ya hela ya operation, n.k! Hata hivyo operation sio nzuri kama unategemea kuzaa zaidi ya mara moja! Pia ulifanya tumbo kuwa kubwa! Tatu alama ya mshono uondoa mvuto wa mwonekano wa mwanamke!
Kwangu mimi hii post yako inaweza kuwa Post bora ya mwaka huu. Umeandika jambo la muhimu sana, sikuhizi imekuwa ni kawaida Wanawake kujifungua kwa ULeo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao.
UZOEFU WA UPASUAJI KWA MTU ASIYEHITAJI KUPASULIWA HII SIO HAKI KABISA.
Hongera sana kwa kulitambua hilo mkuuKwangu mimi hii post yako inaweza kuwa Post bora ya mwaka huu. Umeandika jambo la muhimu sana, sikuhizi imekuwa ni kawaida Wanawake kujifungua kwa U
Operations
Kwanza ni kwasababu wanaofanya Upasuaji wanatengeneza pesa
Pili, kuna wanafunzi hapo wanatafutiwa Sample ya kufanyia Operation na sample yenyewe ni Mwanamke so wale Wanachuo wanajifunzia hapo
Serikali ilikemee hili jambo, imekuwa too much