Upasuaji wa bawasiri

Upasuaji wa bawasiri

Huyo Mzee ndio alonitibu kiurahisi kabisaaaa bila upasuaji... Alinielekeza tu kununua Dettol ya maji na kidishi ... Unachemsha maji unachanganya lita2 Kwa vifuniko 2-3 vya Dettol halafu unakaa kwenye yale maji mpaka yatakapopoa ... Wiki mbili tu haijawahi kurudi Tena tangu 2012 huko...na wengi tu nimewaelekeza hii tiba na wamepona.
Hii ni Kwa bawasiri ya nje, na hiyo Dettol ni kusafisha hiyo sehemu kuuwa bacteria, ni lazima kuna dawa za kumeza alikupa au alikuandikia.
 
Asante mkuu
Usifanye oparesheni, narudia tena usifanye oparesheni, narudia tena usifanye oparesheni.

Endelea kutafuta mwenye Tiba mbadala wa uhakika na hata Mimi nitakusaidia kutafuta.
 
Tumeshaona tangazo lako, walipe JF kwa kuweka tangazo hili.

"Kazini watu si chini ya WANNE wamepasuliwa na kupona kabisa"

Hiyo kazi gani mnafanya mpaka kila mtu awe na bawasiri?
Hili siyo jukwaa la vichaa.
 
Mkuu hujaugua ukiambiwa hata kinyesi chaa mtu ukila unapona kama unaumwa hasa lazima ule kama nilivyofanya mimi
Asante kwa ushauri asee
Nenda hospital kaka. Huku mtaan tunadanganyana sana na sometimes utakuta mtu unaenda hospital wakati umeshachelewa.
Ni kweli maumiv yanaweza kukufanya uamini kila unachoambiwa ila nakushauri ukiumwa NENDA hospital kubwa, yenye vifaa na kutana na mtaalam atakusaidia achana na makanjanja wa mtaani ambao hata cell ya binadamu hawaijui.
 
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs

Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu wametibiwa na wanepona kbs na ninafanyanao kz sehemu moja sio mmoja ni zaidi ya wanne na wamepona kbs.

Ndipo wakanishauri na mimi niende huko nikaandaa pesa zangu mpk huko nikaanza matibabu matbabu hayo yanajumuisha maumivu makali mno sio hospital kuna mtu tu ni mzoefu wa miaka mingi katika matibabu hayo ya bawasiri.

Wakati mimi naenda nilikuwa nimesoma sana kwenye mtandao kuhusu aina za bawasiri na hatua zake kwamba kwa ile ya nje haina gredi ila ya ndani yaan internal ina grade km nne hivi

Lkn ni wakati naenda nilikuwa na hofu nikiamini huyu atakuwa huwa anatibu bawasiri ya nje maana ya ndani ni ngumu sana.

Nililipa km 400k nikaanza matibabu nakuja kumaliza tiba nikaambiwa nimepona lkn bawasiri bado ipo nikaona sio shida

Ishu yangu kuu naomba msaada kujua ni hospital gani wanafanya upasuaji wa bawasiri ya ndani kwa uhakika na usahihi zaidi ili nikatibiwe huku imeshindikana kabisa natoka bado bawasiri inachungulia chini naomba msaada kwa anaejua

Km kuna mtu alishafanyiwa upasuaji wa bawasiri ya ndani humu naomba tu wasiliane pm

Nb na uhakika mkubwa huyu ndugu ni bingwa wa bawasiri ya nje hilo na uhakika kabisa bila shaka
Ushapata dawa ndugu?
 
Kuna mama alionipa vidonge vya mitishamba unatumia ,nilipona ,kupasua Kuna mtu alienda kupasua namfahamu ,aisee baada ya muda kidogo ilirudi Kwa Kasi na maumivu yake SI ya kitoto.njoo inbox nikuelekeze baadhi ya vitu.
Uchawi tu,inbox ya nini..watu wanahitaji kupata taarifa hizo kwa msaada..Na unaweza kuufanya wazi
 
Back
Top Bottom