Upasuaji wa bawasiri

Upasuaji wa bawasiri

Mkuu haku
Tumeshaona tangazo lako, walipe JF kwa kuweka tangazo hili.

"Kazini watu si chini ya WANNE wamepasuliwa na kupona kabisa"

Hiyo kazi gani mnafanya mpaka kila mtu awe na bawasiri?

Tumeshaona tangazo lako, walipe JF kwa kuweka tangazo hili.

"Kazini watu si chini ya WANNE wamepasuliwa na kupona kabisa"

Hiyo kazi gani mnafanya mpaka kila mtu awe na bawasiri?
Mawazo yako mkuu nahisi ni finyu mimi naomba msaada wew unafikiri natangaza biashara Pole.
 
Wajinga ndio waliwao... nenda hospitali kubwa yoyote iliyokaribu nawe ...kakutane na daktari bingwa wa upasuaji (general surgeon) ni procedure ya kawaida kabisa kwake ..pia hata ukikutana na daktari MD mzoefu anakufanyia vizuri kabisa ...kila raheri mkuu
Unamshauri vibaya.....
 
ila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyewe
Ukiiweka hapa itasaidia sana. Hata mimi kuna dogo bawasiri inamsumbua na yuko 28 yrs. Tunashangaa sana!
 
Nenda kairuki kuna specialist pale
Huyo Mzee ndio alonitibu kiurahisi kabisaaaa bila upasuaji... Alinielekeza tu kununua Dettol ya maji na kidishi ... Unachemsha maji unachanganya lita2 Kwa vifuniko 2-3 vya Dettol halafu unakaa kwenye yale maji mpaka yatakapopoa ... Wiki mbili tu haijawahi kurudi Tena tangu 2012 huko...na wengi tu nimewaelekeza hii tiba na wamepona.
 
Ni bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??
Kwanza pole sn. Hii BAWASILI ni noma sana kwa kweli inaumiza kwelikweli. Tambua kuwa watu wengi sn wana bawasili hasa ile ya ndani lakini hawanijui km wanatatizo hili, tatizo huja kuonekana linapokuwa sugu kiasi cha kumwagika damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Na hiyo stage huwa ni mbaya sn, (it's a deadly stage due to too much loss of blood).

Ili uweze kupona kabisa BAWASILI ya nje/ndani unapaswa kwanza upate dawa ya kunywa au kulamba ili kuisukuma kuja nje na kuua mizizi yake tumboni. Ikishakuja nje hapo ni rahisi ku deal nayo ingawa utatakiwa kuendelea kwa pamoja na matibabu ya ile dawa ya kunywa au kulamba.

Wengi hili hawalijui. Unakuta mtu ana bawasili ya nje anatumia dawa au upasuaji Kisha inapotea lakini baada ya muda hujirudia tena kuchipua maana mwanzo alitumia short cut kwa kukata au kupaka dawa akasahau kutibu mizizi yake ndani. Tukumbuke mizizi ya BAWASILI imo ndani ya tumbo, kinachoonekana nje ni matokeo ya kustawi na kunawiri kwa mizizi hiyo. Hivyo bila kuanza kutibu ndani ni sawa na kazi bure, utawakamata watu uchawi kwa kukosa elimu sahihi.

Always short cut is harmful, anza kutibu ndani then nje au vyote vifanyike kwa pamoja.

Said: BANDOKITITA
 
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
ilinitesa toka 2006 nikaja kupona kwa dawa ya kienyeji ya mama mmoja mutu ya musoma kwenye mwaka 2018. kuja kumfuatilia baadaye alishakufa. nililipa laki 1. mpaka leo niko gado.

ila huu gonjwa naona ni lifestyle zaidi ukiibadili wapona mazima.
Asante mkuu
 
Huyo Mzee ndio alonitibu kiurahisi kabisaaaa bila upasuaji... Alinielekeza tu kununua Dettol ya maji na kidishi ... Unachemsha maji unachanganya lita2 Kwa vifuniko 2-3 vya Dettol halafu unakaa kwenye yale maji mpaka yatakapopoa ... Wiki mbili tu haijawahi kurudi Tena tangu 2012 huko...na wengi tu nimewaelekeza hii tiba na wamepona.
Vip ndugu ilikuwa ni bawasiri ya ndani au ya nje???
 
Kuna mama alionipa vidonge vya mitishamba unatumia ,nilipona ,kupasua Kuna mtu alienda kupasua namfahamu ,aisee baada ya muda kidogo ilirudi Kwa Kasi na maumivu yake SI ya kitoto.njoo inbox nikuelekeze baadhi ya vitu.
 
Pole sana ndugu upo mkoa gan na umeugua kwa muda gan 0699416749 naweza kukusaidia kijana mwenzangu bira malipo pia kama upo mbali utagalamia galama ya kukutumia dawa mimi sio mganga ila iyo dawa naijua vizuri kama unaitaji nikusaidie ucje ukakata tamaa katika maisha mwenzio nimeugua mia kumi ilo bawa sili
 
Nimesoma comments napata matumaini, comments zingine napoteza matumaini na hofu inatanda, Nina ndg yangu wa karibu sana anaumwa bawasili nyama inatoka nje wakati wakunisaidia [emoji24][emoji24][emoji24] ni mwaka wa 10 sasa anateseka na bawasili, ametumia sana dawa bila mafanikio, msaada jaman, tuwe serious tusaidiane
 
Msaada
 
uyo anapona kama atatumidawa ipaswavyo ninaushuuda wa tatizo hlo
 
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs

Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu wametibiwa na wanepona kbs na ninafanyanao kz sehemu moja sio mmoja ni zaidi ya wanne na wamepona kbs.

Ndipo wakanishauri na mimi niende huko nikaandaa pesa zangu mpk huko nikaanza matibabu matbabu hayo yanajumuisha maumivu makali mno sio hospital kuna mtu tu ni mzoefu wa miaka mingi katika matibabu hayo ya bawasiri.

Wakati mimi naenda nilikuwa nimesoma sana kwenye mtandao kuhusu aina za bawasiri na hatua zake kwamba kwa ile ya nje haina gredi ila ya ndani yaan internal ina grade km nne hivi

Lkn ni wakati naenda nilikuwa na hofu nikiamini huyu atakuwa huwa anatibu bawasiri ya nje maana ya ndani ni ngumu sana.

Nililipa km 400k nikaanza matibabu nakuja kumaliza tiba nikaambiwa nimepona lkn bawasiri bado ipo nikaona sio shida

Ishu yangu kuu naomba msaada kujua ni hospital gani wanafanya upasuaji wa bawasiri ya ndani kwa uhakika na usahihi zaidi ili nikatibiwe huku imeshindikana kabisa natoka bado bawasiri inachungulia chini naomba msaada kwa anaejua

Km kuna mtu alishafanyiwa upasuaji wa bawasiri ya ndani humu naomba tu wasiliane pm

Nb na uhakika mkubwa huyu ndugu ni bingwa wa bawasiri ya nje hilo na uhakika kabisa bila shaka
Nenda Kairuki hospital kuna jamaa yangu aliwahi kufanyiwa upasuaji na kupona kabisa huo ugonjwa mbaya na wa fedheha
 
Back
Top Bottom