Upasuaji wa bawasiri

Hii ni Kwa bawasiri ya nje, na hiyo Dettol ni kusafisha hiyo sehemu kuuwa bacteria, ni lazima kuna dawa za kumeza alikupa au alikuandikia.
 
Asante mkuu
Usifanye oparesheni, narudia tena usifanye oparesheni, narudia tena usifanye oparesheni.

Endelea kutafuta mwenye Tiba mbadala wa uhakika na hata Mimi nitakusaidia kutafuta.
 
Tumeshaona tangazo lako, walipe JF kwa kuweka tangazo hili.

"Kazini watu si chini ya WANNE wamepasuliwa na kupona kabisa"

Hiyo kazi gani mnafanya mpaka kila mtu awe na bawasiri?
Hili siyo jukwaa la vichaa.
 
Mkuu hujaugua ukiambiwa hata kinyesi chaa mtu ukila unapona kama unaumwa hasa lazima ule kama nilivyofanya mimi
Asante kwa ushauri asee
Nenda hospital kaka. Huku mtaan tunadanganyana sana na sometimes utakuta mtu unaenda hospital wakati umeshachelewa.
Ni kweli maumiv yanaweza kukufanya uamini kila unachoambiwa ila nakushauri ukiumwa NENDA hospital kubwa, yenye vifaa na kutana na mtaalam atakusaidia achana na makanjanja wa mtaani ambao hata cell ya binadamu hawaijui.
 
Ushapata dawa ndugu?
 
Kuna mama alionipa vidonge vya mitishamba unatumia ,nilipona ,kupasua Kuna mtu alienda kupasua namfahamu ,aisee baada ya muda kidogo ilirudi Kwa Kasi na maumivu yake SI ya kitoto.njoo inbox nikuelekeze baadhi ya vitu.
Uchawi tu,inbox ya nini..watu wanahitaji kupata taarifa hizo kwa msaada..Na unaweza kuufanya wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…