princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 376
- 781
Rejea na kichwa cha habari hapo juu mimi kijana wa miaka 28 nina level ya masters degree ya computer science nikiwa nimemaliza mwaka 2025 nipo hapa kuleta jukwaa langu sina expirience ya kazi ila nina jua vitu kama vile mobile application , Machine Learning , Data analyst , DeepLearning nk... nikiwa nimepata ujuzi mkubwa katika hii fani ya IT ila nahitaji nipate expirience ili niweze kushindana katika soko la ajira ninatuma maombi lakin napata changamoto ya expirience wanahitaji uwe na expirience ya muda mrefu wenye kampuni za Technology kijana wenu nipo hapa kuwaomba mnipe volunteer yenye malipo niweze kupata experience zaidi najua ntakutana na meseji za kukatisha tamaa kutukanwa na kusema katika hii dunia binadamu tunapitia mengi sana manyanyaso mateso utumwa nk....
Msijudge sana lakini maisha yana hadithi ngumu na kubwa mno inahitaji moyo sana nisielezee sana mwenye kampuni au taasisi naomba niunganishe nikimbizane na nyakati hizi asanteni wenu mtiifu kijana msaka tongenasoma komenti zenu wakubwa wangu mpo humu watu wazito viongozi nk nahitaji msaada sana sana Asanteni