princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 376
- 781
Nipo kwasasa dar es salaamUko mkoa gani?
Thanks, na kila la kheri, ikitokea fursa nitakujuza. Bear in mind, siko Dar.Nipo kwasasa dar es salaam
Pamoja sana kakaThanks, na kila la kheri, ikitokea fursa nitakujuza. Bear in mind, siko Dar.
Thanks bossy
Pamoja sana mkuu nakubaliana nawewKile kigezo cha experience kisikukwamishe kuomba nafasi yeyote, kama unajua vitu unajua, jitahidi sana kwenye practical
Asante sana mkuu shukurani kwa ushauri mzuriAndaa CV yako nzuri ya kitaaluma ikionyesha key skills zako, ukiachana na experience bado mwajiri atahtaji kujua utam' offer nini (unaujuzi gani wa IT) cz uzoefu unatengenezwa, furthermore IT ni ujuzi ambao ni tofauti kidgo na ambao wamesomea marketing, B.A na mengineyo ambayo yanakuhtaji uwe critical thinker, kwaiy weka Field attache as an experience, nachoamini field za chuo huwa haihitaji "certificate of field work", so weka hiyo then kaa kijanja (kitaalam) ukijiandaa na usaili au practicals issues on ur side.
Kabisa mkuu, ukiwa na portfolio website inayoonesha projects zako ulizozifanya inarahisisha sana zoezi, waajiri wengine wanaomba hili zaidi swala la experience sio sana.Andaa CV yako nzuri ya kitaaluma ikionyesha key skills zako, ukiachana na experience bado mwajiri atahtaji kujua utam' offer nini (unaujuzi gani wa IT) cz uzoefu unatengenezwa, furthermore IT ni ujuzi ambao ni tofauti kidgo na ambao wamesomea marketing, B.A na mengineyo ambayo yanakuhtaji uwe critical thinker, kwaiy weka Field attache as an experience, nachoamini field za chuo huwa haihitaji "certificate of field work", so weka hiyo then kaa kijanja (kitaalam) ukijiandaa na usaili au practicals issues on ur side.