Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Wakuu mimi kwenye account ya dogo nikiingia wananiletea huu ujumbe nimejaribu kuangalia shida ni jini wanasema bank details zi amiss. Sasa je watatoa muda wa kufanya marekebisho kweli?
 
Swali najiuliza ni hili kuna wanafunzi wanajaza fomu za kuomba mikopo ngazi ya Diploma na wengi wako under 18 wakienda bank kufungua akaunti wanakataliwa kwakuwa hawajafikisha umri wa kuwa na akaunti sasa fedha yao wataipataje kama hawaruhusiwi kufungua akaunti?
 
Kuna wa postgraduate aliye na update?? Mi kwangu naona kavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…