Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sanaWakiandika hivi maana yake wametoa fedha za Meals & Accommodation na Tuition fee!? Vipi ada? View attachment 2787333
Asante!Hongera sana
Duh mkuu, hyo ni laki mbili au milioni kwenye Ada?Wakiandika hivi maana yake wametoa fedha za Meals & Accommodation na Tuition fee!? Vipi ada? View attachment 2787333
Asante!
Tuition fee ndo adaWakiandika hivi maana yake wametoa fedha za Meals & Accommodation na Tuition fee!? Vipi ada? View attachment 2787333
Laki mbili na elfu thelathiniDuh mkuu, hyo ni laki mbili au milioni kwenye Ada?
Tuition fee ndio ADA kijanaWakiandika hivi maana yake wametoa fedha za Meals & Accommodation na Tuition fee!? Vipi ada? View attachment 2787333
hongera sana mrFinally kwangu ipo hivi wandugu
umewekewa mda gani?Ahsante sana, mwenye uelewa zaidi atusaidie hapo ufafanuzi
umepewa adaFinally kwangu ipo hivi wandugu
bora kuliko kukosa kabisaDuh madogo wamewap 230,000 Yani 115000 per semester
Sijasema sio Bora ,vijana wajipange chuo sio kwenda kufata mapenzi Bali degreebora kuliko kukosa kabisa