Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

Wakuu mimi kwenye account ya dogo nikiingia wananiletea huu ujumbe nimejaribu kuangalia shida ni jini wanasema bank details zi amiss. Sasa je watatoa muda wa kufanya marekebisho kweli?View attachment 2787322
Muda watatoa lakini kuja kuupata Mkopo Sasa itabidi ufosi mambo yaende ,vyuo vingi vinafungua week ijayo
 
Attachments

  • Screenshot_20231020-182825.png
    Screenshot_20231020-182825.png
    3.3 KB · Views: 9
Dah kipengele sana msaidie tu
Ada sio tatizo sana mkuu, shida ni meals and accomodation mpaka atoboe 3rd year ntapukutika. Nilitaka aende tukiwa tayari na uhakika kwamba amekuwa allocated hii sasa ya kusubiri anaweza kwenda na asipate
 
Nakuondolea hofu mkuu MA kila mwanafunz anapata ,ila Ada ndio kipengele tu
 
Asante kwa kunipa moyo mkuu. Hivi kama mwanafunzi ataendelea kukaa nyumbani akisubiri mpaka ajue majibu ya mkopo je nafasi yake kwenye chuo husika inakuwepo kwa mida gani?
 
Pale chuo anaweza kwenda au kusubiri Ila nafasi huwa inaendelea kuishi maana changamoto hizo wanazo watu wengi Mkuu.

Then huyo atapata mkopo kuwa na Imani
 
Shukrani sana ndugu yangu. Nimepata relief sasa maana kichwa kilishawaka moto tayari
 
Back
Top Bottom