Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Muda watatoa lakini kuja kuupata Mkopo Sasa itabidi ufosi mambo yaende ,vyuo vingi vinafungua week ijayoWakuu mimi kwenye account ya dogo nikiingia wananiletea huu ujumbe nimejaribu kuangalia shida ni jini wanasema bank details zi amiss. Sasa je watatoa muda wa kufanya marekebisho kweli?View attachment 2787322
Vp kabla ya kuchungulia humo walikutumia sms mkuu?Finally kwangu ipo hivi wandugu
Mbona Nikitaka kuingi katika website inagoma nataka kumuangalizia Mdogo anguMuda watatoa lakini kuja kuupata Mkopo Sasa itabidi ufosi mambo yaende ,vyuo vingi vinafungua week ijayo
Changamoto kweliMuda watatoa lakini kuja kuupata Mkopo Sasa itabidi ufosi mambo yaende ,vyuo vingi vinafungua week ijayo
Duuuh [emoji33][emoji33] n htr mbnFinally kwangu ipo hivi wandugu
Hapo ndo napata moto aisee dogo chuo alichopata wamefungua tarehe 16 mwezi huu, amekaa home ili asubiri mkopo maana ni chuo cha private ada heavy kweli.Muda watatoa lakini kuja kuupata Mkopo Sasa itabidi ufosi mambo yaende ,vyuo vingi vinafungua week ijayo
Uko ktk postgraduate au ? Hongerahongera sana mr
Nenda kweny login hakikisha namba na password ni sahihiMbona Nikitaka kuingi katika website inagoma nataka kumuangalizia Mdogo angu
Dah kipengele sana msaidie tuHapo ndo napata moto aisee dogo chuo alichopata wamefungua tarehe 16 mwezi huu, amekaa home ili asubiri mkopo maana ni chuo cha private ada heavy kweli.
Hapa natumia crome yaana hata hiyo Sehemu ya kulog in haitokei kabisaNenda kweny login hakikisha namba na password ni sahihi
Inaishia hapo so tatizo litakuwa device au?Dah kipengele sana msaidie tu
Tumia opera,Phoenix ziko poaHapa natumia crome yaana hata hiyo Sehemu ya kulog in haitokei kabisa
Hii ukitumia Google ,UCbrowser na chrome znaleta hiv achana nazoInaishia hapo so tatizo litakuwa device au?
Nitumie Nini mkuu?Hii ukitumia Google ,UCbrowser na chrome znaleta hiv achana nazo
Operamin ama PhoenixNitumie Nini mkuu?
Ada sio tatizo sana mkuu, shida ni meals and accomodation mpaka atoboe 3rd year ntapukutika. Nilitaka aende tukiwa tayari na uhakika kwamba amekuwa allocated hii sasa ya kusubiri anaweza kwenda na asipateDah kipengele sana msaidie tu
Nakuondolea hofu mkuu MA kila mwanafunz anapata ,ila Ada ndio kipengele tuAda sio tatizo sana mkuu, shida ni meals and accomodation mpaka atoboe 3rd year ntapukutika. Nilitaka aende tukiwa tayari na uhakika kwamba amekuwa allocated hii sasa ya kusubiri anaweza kwenda na asipate
Asante kwa kunipa moyo mkuu. Hivi kama mwanafunzi ataendelea kukaa nyumbani akisubiri mpaka ajue majibu ya mkopo je nafasi yake kwenye chuo husika inakuwepo kwa mida gani?Nakuondolea hofu mkuu MA kila mwanafunz anapata ,ila Ada ndio kipengele tu
Pale chuo anaweza kwenda au kusubiri Ila nafasi huwa inaendelea kuishi maana changamoto hizo wanazo watu wengi Mkuu.Asante kwa kunipa moyo mkuu. Hivi kama mwanafunzi ataendelea kukaa nyumbani akisubiri mpaka ajue majibu ya mkopo je nafasi yake kwenye chuo husika inakuwepo kwa mida gani?
Shukrani sana ndugu yangu. Nimepata relief sasa maana kichwa kilishawaka moto tayariPale chuo anaweza kwenda au kusubiri Ila nafasi huwa inaendelea kuishi maana changamoto hizo wanazo watu wengi Mkuu.
Then huyo atapata mkopo kuwa na Imani