Hawa wanawake hawa ni bac tu, usikute jamaa anaigiziwa, tena linapokuja swala la kupewa pesa, utaigiziwa unapendwa ndo unaingia mzima mzima, siku unakuja kushtuka, tayal umeshachelewa imeshakula kwako. Hawa watu ni kuomba tu Mungu aepushe mabaya, lakn hapana kwakwel!Sawa vzur
Nakuombea tu usije tokea ukapigwa tukio
unaamini vipi huyo mwanamke ni wa kwako peke yako ili hali hauko nae,au mwenzetu uliifungia kufuri **** yake?nasoma degree ya pili-Masters
Mkuu hyo ni defintion yako UMALAYA SIO URIJALI AHSANTE. Mwanaume malaya umalaya wake ndo utamponza yeye mwenyewe , wewe fanya ila mimi nimekataaa I will stick with one person.Hyo definition ni ya kwako haipo popote.
huu ni uzi wako wa mwisho wa mrejesho chanya kuhusu mpenzi wako,uzi mwingine ukileta utakuwa ni wa jinsi gani ulivyopigwa mzinga. Screenshoot coment yangu.umeongea ujinga mkuu, ukiassume kila mtu analiwa hata ndoa zingekuwa hazifanyiki be positive , Ushauri huo sichukui , na hyo research yako sio kwel ahsante
HahhhhhhENENDENI MKAYAFURAIYE MATUNDA YA AMANI
Huu mwaka usiishe tuTherefore Nimeingia kwenye list ya wanaume waliobarikiwa kwenye mahusiamo mwaka 2025😁
Usimshtue aache kutuma hela au apotee kimawasiliano for 3 months aoneUpendo utaachaje kuongezeka wakati unatuma hela kila mwezi.
Wachumba kama hawa wanaolipa wenza mishahara ndo wanatakiwaUsimshtue aache kutuma hela au apotee kimawasiliano for 3 months aone
mtuliege nao sasa na mueleweke japo fimbo ya mbali haiui nyoka.Wachumba kama hawa wanaolipa wenza mishahara ndo wanatakiwa