UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro

Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.

Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana wakati nasubria majibu yangu ya scholarship ya kusoma Uingereza kwa level ya masters ambapo niliiomba nikiwa mwaka wa mwisho wa degree yangu.

Baada ya siku chache kupita baada ya binti kuondoka nakuacha simu nyumbani , polisi mmoja alifika hospitali niliyokuwa nafanyia internship.

Nikamsalimia, nikamueleza shida yangu, nikamuomba anisaidie mawaasiliano ya askari aliyepo Depo Moshi ili niweze kuongea na mpenzi wangu japo nilimwambia ni ndugu , na kweli alinisadia.

Tangu siku hiyo nikawa napiga simu kila mwezi, na nilihakikisha namtumia hela za matumizi ili angalau asipate shida zinazoepukika .

Kila tukiongea ampenzi wangu uniambia :
“Nakuombea kila siku.”

Nakumbuka kabla ya scholarship kutoka alivyokuwepo uraiani, alikuwa akinitia moyo sana na kuniambia nisihofu nakuniambia maneno mazuri sana.

Mara ya pili baada ya mwezi kupita nilipiga Depo na ilikuwa kumpa habari njema kuwa nimepata scholarship ya kwenda Uingereza.

Mungu amenitendeaaa!!!

Alifurahi sana sanaaa ! Nikamwambia hatimaye tumebadilisha maisha yetu we were so happy huku upendo ukizidi kuongezeka nikamwambia kwamba mwez unaofata ntaanza safari kwenda London Kufanya masters yangu , alinitakia baraka nakuniambia

" Nakupenda Mume wangu "

Mwezi uliofata kabla sjasafiri nilijaribu kupiga simu ila changamoto ni kwamba polisi wengine wana roho ngumu sana.

Kuna mmoja alianza kumwonea wivu mpenzi wangu sababu namtumia hela akani-block kabisa just imagine

Lakini sikuacha, kila mwezi nilitafuta polisi mwingine anisaidie. Lengo langu lilikuwa moja tu: kumhakikishia yupo salama na anaendelea vizuri.

Now niko London Masomo yanaendela mungu ni mwezi

Ni takribani miezi mitano toka binti awepo depo na Mungu alitusaidia tukapata polisi mmoja mwema sana, wa kiume, ambaye nikimtumia vocha kama ahsante kinamna hivi ananiunganisha na mpenzi wangu namsupport , anampa hela, na anahakikisha nimeongea naye japo anajua mimi ni ndugu wa binti.

Na kwa kweli haya yote yamenifanya nione kuwa si kila polisi ni mbaya

Mimi na mpenzi wangu tunaendelea vizuri.
Upendo umeongezeka mno.
Na najua mwakani mapema nitarudi Tanzania kumuoa bila sherehe , tu baraka za wazazi. Sherehe kubwa baadaye nikirudi baaada yakumaliza masomo.

Najua polisi hawaruhusiwi kuolewa kabla ya miaka mitatu, lakini tumeshakubaliana: nitamfungulia biashara, aachane na hiyo kazi ngumu na ambayo inamambo mengi ukilinganisha na yaliyotokea Tanzania .

Baada ya kupata mtoto nae , nitampeleka mama watoto chuo asome online apate degree yake hata ya bussiness administration, maisha yaendelee.

Kwanini nimeandika hii stori?

1. Kwa sababu wanawake wazuri na wanaojitambua bado wapo.

Mpenzi wangu ni mpole, msafi, mzuri, anajiheshimu, na sio mtu wa kujipiga piga picha mitandaoni, anajua namna yakuongea na mimi vizuri yani sijawahi kugombana nae hata siku moja sababu she is so perfect bro.

2. Mwanaume akipenda kweli huwa anajitoa.

Nimehangaika kuwapigia polisi zaidi ya watano wengine wabaya kiroho, wengine wazuri lakini yote kwa sababu nataka tu kuhakikisha yupo salama.

3. Nimeamua kutojali negativity.

Wengine waliandika mabaya sana: “mtaachana”, “ata-cheat”, “amekupoteza”.
Lakini ukweli ni kwamba umbali huu umefanya mapenzi yetu kuwa imara zaidi.
Na baada ya yeye kumaliza masomo, nitakuja Tanzania kwenye graduu yake ili nihakikishe hata ile mizuka tunaipunguza kidogo😄

4. Kupenda ni kusaidiana, sio ubinafsi.

Sikutakiwa kureact awali bali ningetakiwa kumsikiliza nakumuelewa kwamba sio mapenzi yake kwenda huko depo bali ya familia na maisha kama alivyonisisitiza , kuna mtu comment yake ilikuwa kwamba ni muhimu kusuuport ndoto na kumsikiliza mpenzi wako kabla ya wewe kulazimisha unayoyataka na kwel nimekuwa namuuliza anataka nini zaidii ya mimi nataka nini , na ukwel ni kwamba hata mtazamo wake umebadilika na ni kwamba anatimiza ya wazazi ila tumeshakubaliana kwamba hyo kazi hatakuja kuifanya ntamfungulia biashara.

5. Mapenzi ya kweli yapo.

Niko London, wazungu wako wakutosha , sio ngumu hata kuwapata.
Lakini sitamani sababu nadhamini safari yangu mimi na yeye na amekuwa mwanamke bora sana , like how namuacha a perfect woman?
Haiwezekani

Upendo wangu kwa mwanamke wangu unanifanya nikae committed mno

Believe me Wanaume tunaojitambua hatucheat kabisa .

Inshallah post yangu inayofuata itakuwa kuhusu ndoa yetu, kwa sababu najua kabisa nitaishi maisha mazuri na yenye furaha akiwa mke wangu.

She is the best thing that has happened to me lakini pia nimejiandaa kwa lolote kwamba mfano akiamua kuishia njiani maana najua hawa viumbe hawatabiriki najua sitaweza kuchanganyikiwa au kujiua sjui au kupata depression bali ntachukua mwingine maana wapo wengi sana na ni muhimu kutoweka 100% expectactions , ila kikubwa nimejiwekea kichwani kwamba " Labda aniache yeye ila sio mimi kumfanyia ujinga maana amekuwa mwema mno na sitoacha kumsupport " ili siku akizingua nikiacha nae ajilaumu yeye mwenyewe mimi nisiusike

Therefore Nimeingia kwenye list ya wanaume waliobarikiwa kwenye mahusiamo mwaka 2025😁

Inshallah Najua Tutafika. Ntawaupdate Ndoa on my next post.

Asanteni kwa kusoma.
Amka utajikojolea. Kenge mpaka masikio yatoke damu ndio atasikia...
 
Jadili hoja
Hapana, wewe umeelezea kile unachokifanya kutokana na experience... jibu lako hilo pia mwamba aliwahi kupewa na rafiki wa mkewe alipomuelezea km alivyonielezea mimi.. huyo rafiki wa mkewe akatoa jibu km hilo ulilotoa wewe na akamshauri na yeye afanye km anavyofanya mkewe mambo yatakaa sawa.. sawa wameoana ili iweje?
 
Huyo mke wa jamaa yako yupo sahihi!
Jamaa yako hajakwambia kila kitu anachomfanyia mkewe.
 
You just proved my point. You are a useless simp unayetumika wakati maafande wanajipigia tu hapo Moshi wakati wewe ukihudumia.

Huna akili ya kuishi na mke polisi wewe. Huyo atakuwa mke wa OCDs huko au mapolisi wenzake. Hata upaniki vipi lakini nakuonea huruma sana. Siku moja utakuja kuyakumbuka haya maneno. Useless simp! 🚮🚮🚮🚮
*** you idiot .Uselesess mwenyewe maskini mbwa wewe .
 
Tatizo mchumba hako hata hajui kama unampenda kiasi hiki hivyo kuachana kupo palepale!😂
wewe ndo unajua , yani watu mnawivu balaaa aya nenda kakalie kidole ufurahi shenzi kabisa
 
Th

They are not like us
They are not like us
They are not like us
They are not like us
 
Bila shaka si mgeni na ile methali ya fimbo ya mbali haiui nyoka. Ulielewa maana yake? Kama ulielewa bila shaka unaona wahenga 'Hamnazo'..

Kwenda uingereza shukuru, hujui umeepushwa na nini kiroho.

Huyo Askari unaemuona mwema ndo anakugongea, take it from me.
Wote wanakuona boya fulani hivi.

Kwasababu ya changamoto za ajira ndo watu wanafanya chochote ila isingekuwa hivyo, basi hakuna mzazi angepeleka bintiye depo. Kama umewahi hata kupita kwa mujibu wa sheria ungenielewa.
 
Simp hatakuelewa. Yupo amekazana kutukana kila anayemsanua. Eti huyu ndo aje aoe askari. Angepita tu hata JKT angeelewa unachomwambia. Kusikia kwa kenge ni mpaka....
 
Back
Top Bottom