mjinga kama wewe shenzi type mimi sio simp, acha uchawi kutoboa kupo soma bila makasirikoWewe ni mjinga na bado una safari ndefu sana ili kuwaelewa hawa viumbe. Tena mwanamke mwenyewe polisi? Ungekuwa karibu hapa makofi yangekuhusu...
(Niliwahi kuwa polisi tena mwenye kacheo cheo mambo yakanishinda. Mapolisi na wajeda waacheni waolewe na wenzao. Raia tena simp kama wewe kuoa polisi au mjeda ni kujitafutia matatizo tu. Nimekuonea huruma sana!)
wivu na uchawi =watanzania wengi , pole sanaaaa umefail hapaAkitoka mafunzoni kabla ya ndoa jitahidi unitafute nikufundishe jinsi ya kuishi na askari wa kike usije jiua au kukimbia ndoa .
Naongea kwa experience maana ni muhanga yalinishinda nikatemwa ,now na enjoy na pombe kidogo hivyo wale wadada wa hapa mnaonipenda msipate tabu kudhani nina hapana ,kwasasa nipo mwenyewe na pombe zangu .
Pole Sana Kaka,hao unaowatumia hela wampe au unaowapigia hakikisha sio maafisa Bora wawe wale mafala mafala ila maafisa kaka nakuambia wanamkula Kaka yaani wanamkula niamini Mimi 😭😭 narudia wanamkula Kaka aisee
uzi wako wewe wa mwisho , acha fitina sio kila mtu atakuwa ana historia kama yako , wivu na ubinafsi .huu ni uzi wako wa mwisho wa mrejesho chanya kuhusu mpenzi wako,uzi mwingine ukileta utakuwa ni wa jinsi gani ulivyopigwa mzinga. Screenshoot coment yangu.
kusoma sjui hamuelewagi wengine , nan kakwambia naamini hvyo? nimesema am doing my part kama akibadilika na aende zake tupate mwingine , acheni wivu na chukiunaamini vipi huyo mwanamke ni wa kwako peke yako ili hali hauko nae,au mwenzetu uliifungia kufuri **** yake?
sasa hivi unamundoaje kule wakati wapo kambini mku , siunajua hairuhusiwi kutoroka na akitoroka watampa adhabu kali na mambo kibaoSasa kwa nini usubiri ahitimu ndo umuachishe kazi? Si umuondoe sasa hivi tu mzee,sitaki kukuombea mabaya but,very soon you will cry
Nilipumzika kuwaroga vijana wadogo wanaojitafuta ila kwa kebehi hii wacha nikufanyizie ngoja kwanza nianze na wewe huko huko kwa wazungu ,huyu wa CCP najua atanikuta mtaani huyu ni kizonga kimoja anaolewa na afande mwenziye chap .wivu na uchawi =watanzania wengi , pole sanaaaa umefail hapa
Kuna mwamba ametoka kunielezea hili suala leo hii tumeeongea mengi sana analalamika kuhusu mkewe ambae hawezi kumuacha ila anamfanyia vitimbi balaa yaan kwa aliyonisimulia ningekua ni mimi usiku usiku ningekua nishafukuza mtu, mwamba anafika hatua anasema kuliko kuishi na yule mwanamke bora ningekua nashinda tu bar narudi kulala mwenyewe nijue mojaUpendo utaachaje kuongezeka wakati unatuma hela kila mwezi.
Kuumizana macho tu!Kuna mwamba ametoka kunielezea hili suala leo hii tumeeongea mengi sana analalamika kuhusu mkewe ambae hawezi kumuacha ila anamfanyia vitimbi balaa yaan kwa aliyonisimulia ningekua ni mimi usiku usiku ningekua nishafukuza mtu, mwamba anafika hatua anasema kuliko kuishi na yule mwanamke bora ningekua nashinda tu bar narudi kulala mwenyewe nijue moja
Kuna mwamba ametoka kunielezea hili suala leo hii tumeeongea mengi sana analalamika kuhusu mkewe ambae hawezi kumuacha ila anamfanyia vitimbi balaa yaan kwa aliyonisimulia ningekua ni mimi usiku usiku ningekua nishafukuza mtu, mwamba anafika hatua anasema kuliko kuishi na yule mwanamke bora ningekua nashinda tu bar narudi kulala mwenyewe nijue mojaKuumizana macho tu!
Mkewe anamfanyajeKuna mwamba ametoka kunielezea hili suala leo hii tumeeongea mengi sana analalamika kuhusu mkewe ambae hawezi kumuacha ila anamfanyia vitimbi balaa yaan kwa aliyonisimulia ningekua ni mimi usiku usiku ningekua nishafukuza mtu, mwamba anafika hatua anasema kuliko kuishi na yule mwanamke bora ningekua nashinda tu bar narudi kulala mwenyewe nijue moja
Tatizo mchumba hako hata hajui kama unampenda kiasi hiki hivyo kuachana kupo palepale!😂uchawi tu mkuu ila nikukumbushe kwamba tutatoboa acha ushirikina
You just proved my point. You are a useless simp unayetumika wakati maafande wanajipigia tu hapo Moshi wakati wewe ukihudumia.mjinga kama wewe shenzi type mimi sio simp, acha uchawi kutoboa kupo soma bila makasiriko
Wajuba wanamsaidia kuipalilia ndoa.. najua hapo ushanielewa.. yaan anaweza akaaga anaenda sehemu fulani hafiki anakoenda anaenda safari anayoijua yeye mwamba akifuatilia kule aliposema anaenda anaambiwa mboni huku hajafika akipiga simu imezimwa jioni anarudi akiambiwa kule uliposema umeenda mboni nimeongea nao wanasemaa hujafika imekuaje anajibiwi ovyo na mwamba katulia tu.. nikasema ningekua mimi huyo ana bahati kaolewa na bwege na anajua wewe ni bonge la bwegeMkewe anamfanyaje
Huyo mwanamke anampenda sana mwamba ndio maana ana mchepukiWajuba wanamsaidia kuipalilia ndoa.. najua hapo ushanielewa.. yaan anaweza akaaga anaenda sehemu fulani hafiki anakoenda anaenda safari anayoijua yeye mwamba akifuatilia kule aliposema anaenda anaambiwa mboni huku hajafika akipiga simu imezimwa jioni anarudi akiambiwa kule uliposema umeenda mboni nimeongea nao wanasemaa hujafika imekuaje anajibiwi ovyo na mwamba katulia tu.. nikasema ningekua mimi huyo ana bahati kaolewa na bwege na anajua wewe ni bonge la bwege
Come again, say what?Huyo mwanamke anampenda sana mwamba ndio maana ana mchepuki
Ukiwa bila mchepuko ni rahisi kugombana ndani, sababu hata vikosa vidogo vinakuumiza ila ukiwa na mtu wa pembeni ndani ugomvi unapungua sababu ni ngumu kuona vimakosamakosa hivyo ndoa inadumuCome again, say what?
Ndio unavyomfanyia jamaa yako hivyo unauza mechi au sio?Ukiwa bila mchepuko ni rahisi kugombana ndani, sababu hata vikosa vidogo vinakuumiza ila ukiwa na mtu wa pembeni ndani ugomvi unapungua sababu ni ngumu kuona vimakosamakosa hivyo ndoa inadumu