Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
Hili kosa unafanya boss.
Aibu nimeona mimisio naenda nipo tayar , nyie mmejaaaza chuki kichwani , uchawi tu ndo.maana wengi ni maskini kwa sababu ya mawivu na ushirikina
Ongera lkn .pia akikuacha pia uzi hapa utakuwa muhimu sana .Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.
Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana wakati nasubria majibu yangu ya scholarship ya kusoma Uingereza kwa level ya masters ambapo niliiomba nikiwa mwaka wa mwisho wa degree yangu.
Baada ya siku chache kupita baada ya binti kuondoka nakuacha simu nyumbani , polisi mmoja alifika hospitali niliyokuwa nafanyia internship.
Nikamsalimia, nikamueleza shida yangu, nikamuomba anisaidie mawaasiliano ya askari aliyepo Depo Moshi ili niweze kuongea na mpenzi wangu japo nilimwambia ni ndugu , na kweli alinisadia.
Tangu siku hiyo nikawa napiga simu kila mwezi, na nilihakikisha namtumia hela za matumizi ili angalau asipate shida zinazoepukika .
Kila tukiongea ampenzi wangu uniambia :
“Nakuombea kila siku.”
Nakumbuka kabla ya scholarship kutoka alivyokuwepo uraiani, alikuwa akinitia moyo sana na kuniambia nisihofu nakuniambia maneno mazuri sana.
Mara ya pili baada ya mwezi kupita nilipiga Depo na ilikuwa kumpa habari njema kuwa nimepata scholarship ya kwenda Uingereza.
Mungu amenitendeaaa!!!
Alifurahi sana sanaaa ! Nikamwambia hatimaye tumebadilisha maisha yetu we were so happy huku upendo ukizidi kuongezeka nikamwambia kwamba mwez unaofata ntaanza safari kwenda London Kufanya masters yangu , alinitakia baraka nakuniambia
" Nakupenda Mume wangu "
Mwezi uliofata kabla sjasafiri nilijaribu kupiga simu ila changamoto ni kwamba polisi wengine wana roho ngumu sana.
Kuna mmoja alianza kumwonea wivu mpenzi wangu sababu namtumia hela akani-block kabisa just imagine
Lakini sikuacha, kila mwezi nilitafuta polisi mwingine anisaidie. Lengo langu lilikuwa moja tu: kumhakikishia yupo salama na anaendelea vizuri.
Now niko London Masomo yanaendela mungu ni mwezi
Ni takribani miezi mitano toka binti awepo depo na Mungu alitusaidia tukapata polisi mmoja mwema sana, wa kiume, ambaye nikimtumia vocha kama ahsante kinamna hivi ananiunganisha na mpenzi wangu namsupport , anampa hela, na anahakikisha nimeongea naye japo anajua mimi ni ndugu wa binti.
Na kwa kweli haya yote yamenifanya nione kuwa si kila polisi ni mbaya
Mimi na mpenzi wangu tunaendelea vizuri.
Upendo umeongezeka mno.
Na najua mwakani mapema nitarudi Tanzania kumuoa bila sherehe , tu baraka za wazazi. Sherehe kubwa baadaye nikirudi baaada yakumaliza masomo.
Najua polisi hawaruhusiwi kuolewa kabla ya miaka mitatu, lakini tumeshakubaliana: nitamfungulia biashara, aachane na hiyo kazi ngumu na ambayo inamambo mengi ukilinganisha na yaliyotokea Tanzania .
Baada ya kupata mtoto nae , nitampeleka mama watoto chuo asome online apate degree yake hata ya bussiness administration, maisha yaendelee.
Kwanini nimeandika hii stori?
1. Kwa sababu wanawake wazuri na wanaojitambua bado wapo.
Mpenzi wangu ni mpole, msafi, mzuri, anajiheshimu, na sio mtu wa kujipiga piga picha mitandaoni, anajua namna yakuongea na mimi vizuri yani sijawahi kugombana nae hata siku moja sababu she is so perfect bro.
2. Mwanaume akipenda kweli huwa anajitoa.
Nimehangaika kuwapigia polisi zaidi ya watano wengine wabaya kiroho, wengine wazuri lakini yote kwa sababu nataka tu kuhakikisha yupo salama.
3. Nimeamua kutojali negativity.
Wengine waliandika mabaya sana: “mtaachana”, “ata-cheat”, “amekupoteza”.
Lakini ukweli ni kwamba umbali huu umefanya mapenzi yetu kuwa imara zaidi.
Na baada ya yeye kumaliza masomo, nitakuja Tanzania kwenye graduu yake ili nihakikishe hata ile mizuka tunaipunguza kidogo😄
4. Kupenda ni kusaidiana, sio ubinafsi.
Sikutakiwa kureact awali bali ningetakiwa kumsikiliza nakumuelewa kwamba sio mapenzi yake kwenda huko depo bali ya familia na maisha kama alivyonisisitiza , kuna mtu comment yake ilikuwa kwamba ni muhimu kusuuport ndoto na kumsikiliza mpenzi wako kabla ya wewe kulazimisha unayoyataka na kwel nimekuwa namuuliza anataka nini zaidii ya mimi nataka nini , na ukwel ni kwamba hata mtazamo wake umebadilika na ni kwamba anatimiza ya wazazi ila tumeshakubaliana kwamba hyo kazi hatakuja kuifanya ntamfungulia biashara.
5. Mapenzi ya kweli yapo.
Niko London, wazungu wako wakutosha , sio ngumu hata kuwapata.
Lakini sitamani sababu nadhamini safari yangu mimi na yeye na amekuwa mwanamke bora sana , like how namuacha a perfect woman?
Haiwezekani
Upendo wangu kwa mwanamke wangu unanifanya nikae committed mno
Believe me Wanaume tunaojitambua hatucheat kabisa .
Inshallah post yangu inayofuata itakuwa kuhusu ndoa yetu, kwa sababu najua kabisa nitaishi maisha mazuri na yenye furaha akiwa mke wangu.
She is the best thing that has happened to me lakini pia nimejiandaa kwa lolote kwamba mfano akiamua kuishia njiani maana najua hawa viumbe hawatabiriki najua sitaweza kuchanganyikiwa au kujiua sjui au kupata depression bali ntachukua mwingine maana wapo wengi sana na ni muhimu kutoweka 100% expectactions , ila kikubwa nimejiwekea kichwani kwamba " Labda aniache yeye ila sio mimi kumfanyia ujinga maana amekuwa mwema mno na sitoacha kumsupport " ili siku akizingua nikiacha nae ajilaumu yeye mwenyewe mimi nisiusike
Therefore Nimeingia kwenye list ya wanaume waliobarikiwa kwenye mahusiamo mwaka 2025😁
Inshallah Najua Tutafika. Ntawaupdate Ndoa on my next post.
Asanteni kwa kusoma.
watu mnachuki jaman umaskini mbaya sana 🤣🤣🤣
wewe ni stupid useleless , wewe ni kondooo mbwa maskini idiot
Wewe simp tuma hela ili vijana wa depo na maafande wamtombe vizuri huyo kuruta wako. Utatukana mpaka umalize matusi yote lakini huna ukuaji wa kihisia wala akili za kumuoa na kumtuliza mwanamke polisi wewe. Tunakusanua hapa unaishia kupaniki na kuporomosha matusi. Sasa ulianzisha uzi tukusifie ili u-justify u-simp na ujinga wako hapa?kwahyo unategemea napata hela nisimpe yeye nikupe wewe? kwasababu nikimpa naonekana simp? ujinga sana embu heal your life and your mentality , umejaza mentality zakipumbavu na kimaskini kichwani
Kama sio kiziwi, asikie sauti hii.Akitoka mafunzoni kabla ya ndoa jitahidi unitafute nikufundishe jinsi ya kuishi na askari wa kike usije jiua au kukimbia ndoa .
Naongea kwa experience maana ni muhanga yalinishinda nikatemwa ,now na enjoy na pombe kidogo hivyo wale wadada wa hapa mnaonipenda msipate tabu kudhani nina hapana ,kwasasa nipo mwenyewe na pombe zangu .
Pole Sana Kaka,hao unaowatumia hela wampe au unaowapigia hakikisha sio maafisa Bora wawe wale mafala mafala ila maafisa kaka nakuambia wanamkula Kaka yaani wanamkula niamini Mimi 😭😭 narudia wanamkula Kaka aisee
Yaan MTU akimjali mchumba wake mnamwita simp.Wewe simp tuma hela ili vijana wa depo na maafande wamtombe vizuri huyo kuruta wako. Utatukana mpaka umalize matusi yote lakini huna ukuaji wa kihisia wala akili za kumuoa na kumtuliza mwanamke polisi wewe. Tunakusanua hapa unaishia kupaniki na kuporomosha matusi. Sasa ulianzisha uzi tukusifie ili u-justify u-simp na ujinga wako hapa?
Ukianzisha uzi hapa basi uwe tayari kupokea mawazo ya aina zote. Haya endelea kuporomosha matusi kama kichaa huku wenzio wanamwinamisha huku.
You are a pathetic loser and an embarrassment to all REAL men!
Watapeana Miongozo wenyewe!
You my friend know better
Kwani kuwa simp na gentleman ni kitu kibaya? Kwani kutuma hela kwa mpenzi wako akiwa depo ya upolisi Moshi na wewe ukiwa mbali ni vibaya? Sisi si tumetoa tu maoni yetu kulingana na uzoefu wetu? Alipoanzisha uzi alikuwa anataka tumsifie kuwa ni gentleman hata kama uzoefu wetu ni kinyume? Hili si jukwaa huru? Umemfuatilia jinsi anavyoporomosha matusi kwa ye yote anayetoa mawazo tofauti na yake au umedandia treni kwa mbele? Wewe ulitaka tuseme unavyotaka wewe kama vile experiences zetu zinafanana? Wewe kimekuuma nini? Wewe pia ni simp? Unaumia kuwa simp?Yaan MTU akimjali mchumba wake mnamwita simp.
Wewe Kama humjali mchumba wako au mpenzi wako ndio simp kabisaa.
Sijui mnakalilishana maujinga gani.
Mwacheni awe simp, Kama kumjali mpenzi ni u simp, acheni awe....
Nyinyi msiojali ndio wajanja wamjini...
It's okay
Mbele ya hela hujawahi kua na maoni hasi.Safi sana na Mungu awasimamie na kuwaepusha na mabalaa yote na mkafanikishe lililo hitaji la mioyo yenu. Love is a beatiful thing bwana.
Achana na haya mafurushi ya huku yaliyojikatia tamaa na maisha, wasikukatishe tamaa.
Mbele ya mahaba🤣Mbele ya hela hujawahi kua na maoni hasi.
Kumbe mchawi pesa na mahaba, nkajua pesa tu.Mbele ya mahaba🤣
Unaitwa Junior? Maana matoto yanayoitwa Junior huwa mazezeta kama hivi.Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.
Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana wakati nasubria majibu yangu ya scholarship ya kusoma Uingereza kwa level ya masters ambapo niliiomba nikiwa mwaka wa mwisho wa degree yangu.
Baada ya siku chache kupita baada ya binti kuondoka nakuacha simu nyumbani , polisi mmoja alifika hospitali niliyokuwa nafanyia internship.
Nikamsalimia, nikamueleza shida yangu, nikamuomba anisaidie mawaasiliano ya askari aliyepo Depo Moshi ili niweze kuongea na mpenzi wangu japo nilimwambia ni ndugu , na kweli alinisadia.
Tangu siku hiyo nikawa napiga simu kila mwezi, na nilihakikisha namtumia hela za matumizi ili angalau asipate shida zinazoepukika .
Kila tukiongea ampenzi wangu uniambia :
“Nakuombea kila siku.”
Nakumbuka kabla ya scholarship kutoka alivyokuwepo uraiani, alikuwa akinitia moyo sana na kuniambia nisihofu nakuniambia maneno mazuri sana.
Mara ya pili baada ya mwezi kupita nilipiga Depo na ilikuwa kumpa habari njema kuwa nimepata scholarship ya kwenda Uingereza.
Mungu amenitendeaaa!!!
Alifurahi sana sanaaa ! Nikamwambia hatimaye tumebadilisha maisha yetu we were so happy huku upendo ukizidi kuongezeka nikamwambia kwamba mwez unaofata ntaanza safari kwenda London Kufanya masters yangu , alinitakia baraka nakuniambia
" Nakupenda Mume wangu "
Mwezi uliofata kabla sjasafiri nilijaribu kupiga simu ila changamoto ni kwamba polisi wengine wana roho ngumu sana.
Kuna mmoja alianza kumwonea wivu mpenzi wangu sababu namtumia hela akani-block kabisa just imagine
Lakini sikuacha, kila mwezi nilitafuta polisi mwingine anisaidie. Lengo langu lilikuwa moja tu: kumhakikishia yupo salama na anaendelea vizuri.
Now niko London Masomo yanaendela mungu ni mwezi
Ni takribani miezi mitano toka binti awepo depo na Mungu alitusaidia tukapata polisi mmoja mwema sana, wa kiume, ambaye nikimtumia vocha kama ahsante kinamna hivi ananiunganisha na mpenzi wangu namsupport , anampa hela, na anahakikisha nimeongea naye japo anajua mimi ni ndugu wa binti.
Na kwa kweli haya yote yamenifanya nione kuwa si kila polisi ni mbaya
Mimi na mpenzi wangu tunaendelea vizuri.
Upendo umeongezeka mno.
Na najua mwakani mapema nitarudi Tanzania kumuoa bila sherehe , tu baraka za wazazi. Sherehe kubwa baadaye nikirudi baaada yakumaliza masomo.
Najua polisi hawaruhusiwi kuolewa kabla ya miaka mitatu, lakini tumeshakubaliana: nitamfungulia biashara, aachane na hiyo kazi ngumu na ambayo inamambo mengi ukilinganisha na yaliyotokea Tanzania .
Baada ya kupata mtoto nae , nitampeleka mama watoto chuo asome online apate degree yake hata ya bussiness administration, maisha yaendelee.
Kwanini nimeandika hii stori?
1. Kwa sababu wanawake wazuri na wanaojitambua bado wapo.
Mpenzi wangu ni mpole, msafi, mzuri, anajiheshimu, na sio mtu wa kujipiga piga picha mitandaoni, anajua namna yakuongea na mimi vizuri yani sijawahi kugombana nae hata siku moja sababu she is so perfect bro.
2. Mwanaume akipenda kweli huwa anajitoa.
Nimehangaika kuwapigia polisi zaidi ya watano wengine wabaya kiroho, wengine wazuri lakini yote kwa sababu nataka tu kuhakikisha yupo salama.
3. Nimeamua kutojali negativity.
Wengine waliandika mabaya sana: “mtaachana”, “ata-cheat”, “amekupoteza”.
Lakini ukweli ni kwamba umbali huu umefanya mapenzi yetu kuwa imara zaidi.
Na baada ya yeye kumaliza masomo, nitakuja Tanzania kwenye graduu yake ili nihakikishe hata ile mizuka tunaipunguza kidogo😄
4. Kupenda ni kusaidiana, sio ubinafsi.
Sikutakiwa kureact awali bali ningetakiwa kumsikiliza nakumuelewa kwamba sio mapenzi yake kwenda huko depo bali ya familia na maisha kama alivyonisisitiza , kuna mtu comment yake ilikuwa kwamba ni muhimu kusuuport ndoto na kumsikiliza mpenzi wako kabla ya wewe kulazimisha unayoyataka na kwel nimekuwa namuuliza anataka nini zaidii ya mimi nataka nini , na ukwel ni kwamba hata mtazamo wake umebadilika na ni kwamba anatimiza ya wazazi ila tumeshakubaliana kwamba hyo kazi hatakuja kuifanya ntamfungulia biashara.
5. Mapenzi ya kweli yapo.
Niko London, wazungu wako wakutosha , sio ngumu hata kuwapata.
Lakini sitamani sababu nadhamini safari yangu mimi na yeye na amekuwa mwanamke bora sana , like how namuacha a perfect woman?
Haiwezekani
Upendo wangu kwa mwanamke wangu unanifanya nikae committed mno
Believe me Wanaume tunaojitambua hatucheat kabisa .
Inshallah post yangu inayofuata itakuwa kuhusu ndoa yetu, kwa sababu najua kabisa nitaishi maisha mazuri na yenye furaha akiwa mke wangu.
She is the best thing that has happened to me lakini pia nimejiandaa kwa lolote kwamba mfano akiamua kuishia njiani maana najua hawa viumbe hawatabiriki najua sitaweza kuchanganyikiwa au kujiua sjui au kupata depression bali ntachukua mwingine maana wapo wengi sana na ni muhimu kutoweka 100% expectactions , ila kikubwa nimejiwekea kichwani kwamba " Labda aniache yeye ila sio mimi kumfanyia ujinga maana amekuwa mwema mno na sitoacha kumsupport " ili siku akizingua nikiacha nae ajilaumu yeye mwenyewe mimi nisiusike
Therefore Nimeingia kwenye list ya wanaume waliobarikiwa kwenye mahusiamo mwaka 2025😁
Inshallah Najua Tutafika. Ntawaupdate Ndoa on my next post.
Asanteni kwa kusoma.
Nili taka nilete barua ya uchumba kwenu 😂Juzi nilipita tu hapa naona umenirudisha tena😀