UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

Hili kosa unafanya boss.
nisimuangalia mwanamke wangu heti kosa how? mnajua nyie sjui mnaakili za wapi wakuu, kumjali mtu haimaanishi kwamba bila yeye maisha hayaweza kwenda , tena usipomjali ndo itamsababisha apate shida zitakazomsababisha acheat , yani as long napata kitu lazima nishare na ninaye date nae , mimi sio mbinafsi na haimaanishi mimi ni simpi
 
Wewe simp tuma hela ili vijana wa depo na maafande wamtombe vizuri huyo kuruta wako. Utatukana mpaka umalize matusi yote lakini huna ukuaji wa kihisia wala akili za kumuoa na kumtuliza mwanamke polisi wewe. Tunakusanua hapa unaishia kupaniki na kuporomosha matusi. Sasa ulianzisha uzi tukusifie ili u-justify u-simp na ujinga wako hapa?

Ukianzisha uzi hapa basi uwe tayari kupokea mawazo ya aina zote. Haya endelea kuporomosha matusi kama kichaa huku wenzio wanamwinamisha huku.

You are a pathetic loser and an embarrassment to all REAL men!
wewe ni mpuuzi ambaye hujitambui , na wakishamaliza kumla watakuja kukukula na wewe takataka
 
Kama sio kiziwi, asikie sauti hii.
Kama sio sikio la kufa asikie dawa hii.
hamna dawa huo ni ujinga mnawaza negative all time , ingekuwa hvyo mahusiano yote yangekufa dunia nzima , tafuteni watu wawapende muache chuki

Ukiisoma post yangu na hasira na wivu lazima utaona nazingua ila ukiisoma kwa akili utabariki ACHENI UJINGA SIO KILA KITU KITAFAIL INGEKUWA HIVYO WAZAZI WENU WASINGE WAPATA.
 
Wewe simp tuma hela ili vijana wa depo na maafande wamtombe vizuri huyo kuruta wako. Utatukana mpaka umalize matusi yote lakini huna ukuaji wa kihisia wala akili za kumuoa na kumtuliza mwanamke polisi wewe. Tunakusanua hapa unaishia kupaniki na kuporomosha matusi. Sasa ulianzisha uzi tukusifie ili u-justify u-simp na ujinga wako hapa?

Ukianzisha uzi hapa basi uwe tayari kupokea mawazo ya aina zote. Haya endelea kuporomosha matusi kama kichaa huku wenzio wanamwinamisha huku.

You are a pathetic loser and an embarrassment to all REAL men!
na mauijinga yako hata sisomi nishakuona kichwani kumejaaa mavi , nimekuupuuzia yani nasoma jina nakujibu , malaya na mpuuzi mmoja usiyejitambua , Shenzi type , wivu umekujaaa na utakufa maskini for that
 
Ongera lkn .pia akikuacha pia uzi hapa utakuwa muhimu sana .

Mara yako ya kwanza nn?kuingia,kweny mapenz ? Wanawake ni hatari🔥🔥🔥🔥

Kuongea naye kila siku kila saa siyo evidence kwamba kuna upendo wa kweli yanaweza pia kuwa maegizo hayo.
YANI USIANZE KUWEKA NEGATIVITY , AKINIACHA KWAN YUPO MWENYEWE?

Mimi nishakuwa na mahusiano kibao zamani huko , nimemalizia stori kutoa feedback acheni Uchawi wenu maana hamtaweza kama imepangwa nitatoboa nae ntatoboa nae maneno yenu mabaya hayatawezekana.
 
Yaan MTU akimjali mchumba wake mnamwita simp.

Wewe Kama humjali mchumba wako au mpenzi wako ndio simp kabisaa.

Sijui mnakalilishana maujinga gani.

Mwacheni awe simp, Kama kumjali mpenzi ni u simp, acheni awe....

Nyinyi msiojali ndio wajanja wamjini...

It's okay
kabisa bora huwaambie yani heti niwe napata hela halafu nisimpe mchimba wangu nimpe nani sasa , nisipompatia nakumjali sindio atapata sababu zakwenda kwa wengine, yani nijipatie pesa niseme naifadhi wakati binti anahitaji support halafu izo pesa zinisaidie nini? au nisipomjali wanataka niwajali wao sjui😄hawa jamaaa wanachuki zao binafsi wanahasira na maisha yao woi
 
Kwani kuwa simp na gentleman ni kitu kibaya? Kwani kutuma hela kwa mpenzi wako akiwa depo ya upolisi Moshi na wewe ukiwa mbali ni vibaya? Sisi si tumetoa tu maoni yetu kulingana na uzoefu wetu? Alipoanzisha uzi alikuwa anataka tumsifie kuwa ni gentleman hata kama uzoefu wetu ni kinyume? Hili si jukwaa huru? Umemfuatilia jinsi anavyoporomosha matusi kwa ye yote anayetoa mawazo tofauti na yake au umedandia treni kwa mbele? Wewe ulitaka tuseme unavyotaka wewe kama vile experiences zetu zinafanana? Wewe kimekuuma nini? Wewe pia ni simp? Unaumia kuwa simp?
sasa uzoefu wako sio wangu ilo lifahamu , yani haimaanishi kama wewe uliteswa na mimi ntateswa au aimaanishi kama wewe ulikutana na mwanamke aliyekuzingua basi na mm ni lazima yanikute noppp , we have different paths , huwez kusema heti kwa sababu mke wa jirani yani kacheat basi urudi nyumbani ugombane na mkeo wkati sio yeye aliyecheat utaonekana mjinga , elewa tuna historia tofauti hatuwez kufanana ndo maana kuna maskini na tajiri na ndio maana kuna barcelona na Kuna Yanga.
 
Unaitwa Junior? Maana matoto yanayoitwa Junior huwa mazezeta kama hivi.
wewe ndo zezeta na mimi siitwi junior , mimi nimetokea kaskazini mzeee siwez kuwa boya kama unavyozania , kama kumjali mtu ni uzezeta basi wewe ndo zezeta number 1.
 
Sasa kwanini wewe ndie unahangaika kumtaguta ilhali access yeye ndo anayo kubwa si ajabu hata bila kupitia kwa hao askaru unaowahonga pia.

Mkuu makinika, kalaghabaho.
wewe umeongea ujinga huu mkuu , kule hairuhusiwi simu mimi ndo napiga simu maana akileta mazoea sana na wale maafande kuwaomba omba simu italeta shida , kule hawana access hawapo uraiani
 
mjinga ni yule anajifanya mzazi wa binti ambaye ana wazazi wake, yaani anakuwa kama mzazi,kila mwezi anatuma hela kwa ajili ya binti,jiulize,kwa nini unamtumia hela? Kama jibu ni ajikimu mahtaji ya chuoni je hapo mwanzo alikuwa anafanya nini kabla ya wewe haujajiweka kuwa kama mzazi? Ina maana huyo binti anapata pesa double,kutoka kwa wazazi na kutoka kwako,jiulize tena,amefanya nini cha maana ktk maisha yake kutokana na pesa hizo mnazomtumia? Huyo ni tapeli,na ukijifanya mjuaji kwa kukomenti kuukataa kuuchukua ushauri wangu lakini naomba uufanyie kazi ujumbe wangu,. Huyo mwanamama mpime,mwambie umepatwa na misukosuko,huna pesa, na unaomba msaada wake,kama atakupa msaada wa kifedha jua huyo ni mwanamke wa kweli ktk maisha yako. Ufanyie kazi ujumbe wangu tafadhari.
usiongeleee historia za watu ambazo huzifahamu , wewe huna hela yakumpa wacha wenye hela tumgaie , usinipangie na hela yangu mimi sio mbinafsi napata hela nyingi kwahyo nilazima nimpe . Tafuta zako kufa nazo , nyie ndo mnagongewaga kwa sababu yakujikuta wagumu , yani kama unaona pesa ya digit sita ni nyingi kumpa unayempenda ujue unasafari ndefu sana , tafuta exposure utanielewa
 
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro

Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.

Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana wakati nasubria majibu yangu ya scholarship ya kusoma Uingereza kwa level ya masters ambapo niliiomba nikiwa mwaka wa mwisho wa degree yangu.

Baada ya siku chache kupita baada ya binti kuondoka nakuacha simu nyumbani , polisi mmoja alifika hospitali niliyokuwa nafanyia internship.

Nikamsalimia, nikamueleza shida yangu, nikamuomba anisaidie mawaasiliano ya askari aliyepo Depo Moshi ili niweze kuongea na mpenzi wangu japo nilimwambia ni ndugu , na kweli alinisadia.

Tangu siku hiyo nikawa napiga simu kila mwezi, na nilihakikisha namtumia hela za matumizi ili angalau asipate shida zinazoepukika .

Kila tukiongea ampenzi wangu uniambia :
“Nakuombea kila siku.”

Nakumbuka kabla ya scholarship kutoka alivyokuwepo uraiani, alikuwa akinitia moyo sana na kuniambia nisihofu nakuniambia maneno mazuri sana.

Mara ya pili baada ya mwezi kupita nilipiga Depo na ilikuwa kumpa habari njema kuwa nimepata scholarship ya kwenda Uingereza.

Mungu amenitendeaaa!!!

Alifurahi sana sanaaa ! Nikamwambia hatimaye tumebadilisha maisha yetu we were so happy huku upendo ukizidi kuongezeka nikamwambia kwamba mwez unaofata ntaanza safari kwenda London Kufanya masters yangu , alinitakia baraka nakuniambia

" Nakupenda Mume wangu "

Mwezi uliofata kabla sjasafiri nilijaribu kupiga simu ila changamoto ni kwamba polisi wengine wana roho ngumu sana.

Kuna mmoja alianza kumwonea wivu mpenzi wangu sababu namtumia hela akani-block kabisa just imagine

Lakini sikuacha, kila mwezi nilitafuta polisi mwingine anisaidie. Lengo langu lilikuwa moja tu: kumhakikishia yupo salama na anaendelea vizuri.

Now niko London Masomo yanaendela mungu ni mwezi

Ni takribani miezi mitano toka binti awepo depo na Mungu alitusaidia tukapata polisi mmoja mwema sana, wa kiume, ambaye nikimtumia vocha kama ahsante kinamna hivi ananiunganisha na mpenzi wangu namsupport , anampa hela, na anahakikisha nimeongea naye japo anajua mimi ni ndugu wa binti.

Na kwa kweli haya yote yamenifanya nione kuwa si kila polisi ni mbaya

Mimi na mpenzi wangu tunaendelea vizuri.
Upendo umeongezeka mno.
Na najua mwakani mapema nitarudi Tanzania kumuoa bila sherehe , tu baraka za wazazi. Sherehe kubwa baadaye nikirudi baaada yakumaliza masomo.

Najua polisi hawaruhusiwi kuolewa kabla ya miaka mitatu, lakini tumeshakubaliana: nitamfungulia biashara, aachane na hiyo kazi ngumu na ambayo inamambo mengi ukilinganisha na yaliyotokea Tanzania .

Baada ya kupata mtoto nae , nitampeleka mama watoto chuo asome online apate degree yake hata ya bussiness administration, maisha yaendelee.

Kwanini nimeandika hii stori?

1. Kwa sababu wanawake wazuri na wanaojitambua bado wapo.

Mpenzi wangu ni mpole, msafi, mzuri, anajiheshimu, na sio mtu wa kujipiga piga picha mitandaoni, anajua namna yakuongea na mimi vizuri yani sijawahi kugombana nae hata siku moja sababu she is so perfect bro.

2. Mwanaume akipenda kweli huwa anajitoa.

Nimehangaika kuwapigia polisi zaidi ya watano wengine wabaya kiroho, wengine wazuri lakini yote kwa sababu nataka tu kuhakikisha yupo salama.

3. Nimeamua kutojali negativity.

Wengine waliandika mabaya sana: “mtaachana”, “ata-cheat”, “amekupoteza”.
Lakini ukweli ni kwamba umbali huu umefanya mapenzi yetu kuwa imara zaidi.
Na baada ya yeye kumaliza masomo, nitakuja Tanzania kwenye graduu yake ili nihakikishe hata ile mizuka tunaipunguza kidogo😄

4. Kupenda ni kusaidiana, sio ubinafsi.

Sikutakiwa kureact awali bali ningetakiwa kumsikiliza nakumuelewa kwamba sio mapenzi yake kwenda huko depo bali ya familia na maisha kama alivyonisisitiza , kuna mtu comment yake ilikuwa kwamba ni muhimu kusuuport ndoto na kumsikiliza mpenzi wako kabla ya wewe kulazimisha unayoyataka na kwel nimekuwa namuuliza anataka nini zaidii ya mimi nataka nini , na ukwel ni kwamba hata mtazamo wake umebadilika na ni kwamba anatimiza ya wazazi ila tumeshakubaliana kwamba hyo kazi hatakuja kuifanya ntamfungulia biashara.

5. Mapenzi ya kweli yapo.

Niko London, wazungu wako wakutosha , sio ngumu hata kuwapata.
Lakini sitamani sababu nadhamini safari yangu mimi na yeye na amekuwa mwanamke bora sana , like how namuacha a perfect woman?
Haiwezekani

Upendo wangu kwa mwanamke wangu unanifanya nikae committed mno

Believe me Wanaume tunaojitambua hatucheat kabisa .

Inshallah post yangu inayofuata itakuwa kuhusu ndoa yetu, kwa sababu najua kabisa nitaishi maisha mazuri na yenye furaha akiwa mke wangu.

She is the best thing that has happened to me lakini pia nimejiandaa kwa lolote kwamba mfano akiamua kuishia njiani maana najua hawa viumbe hawatabiriki najua sitaweza kuchanganyikiwa au kujiua sjui au kupata depression bali ntachukua mwingine maana wapo wengi sana na ni muhimu kutoweka 100% expectactions , ila kikubwa nimejiwekea kichwani kwamba " Labda aniache yeye ila sio mimi kumfanyia ujinga maana amekuwa mwema mno na sitoacha kumsupport " ili siku akizingua nikiacha nae ajilaumu yeye mwenyewe mimi nisiusike

Therefore Nimeingia kwenye list ya wanaume waliobarikiwa kwenye mahusiamo mwaka 2025😁

Inshallah Najua Tutafika. Ntawaupdate Ndoa on my next post.

Asanteni kwa kusoma.
Another one down...
We are facing heavy fires
Man down....
Man down
I repeat man down
 
wewe umeongea ujinga huu mkuu , kule hairuhusiwi simu mimi ndo napiga simu maana akileta mazoea sana na wale maafande kuwaomba omba simu italeta shida , kule hawana access hawapo uraiani
Hamna kazi hapo mr. Simp.
 
YANI USIANZE KUWEKA NEGATIVITY , AKINIACHA KWAN YUPO MWENYEWE?

Mimi nishakuwa na mahusiano kibao zamani huko , nimemalizia stori kutoa feedback acheni Uchawi wenu maana hamtaweza kama imepangwa nitatoboa nae ntatoboa nae maneno yenu mabaya hayatawezekana.
😂😂😂 all the best bother
 
sasa uzoefu wako sio wangu ilo lifahamu , yani haimaanishi kama wewe uliteswa na mimi ntateswa au aimaanishi kama wewe ulikutana na mwanamke aliyekuzingua basi na mm ni lazima yanikute noppp , we have different paths , huwez kusema heti kwa sababu mke wa jirani yani kacheat basi urudi nyumbani ugombane na mkeo wkati sio yeye aliyecheat utaonekana mjinga , elewa tuna historia tofauti hatuwez kufanana ndo maana kuna maskini na tajiri na ndio maana kuna barcelona na Kuna Yanga.
Naona dawa imeanza kukuingia. Hujaporomosha matusi. Definitely now we are getting somewhere. Excellent!
 
na mauijinga yako hata sisomi nishakuona kichwani kumejaaa mavi , nimekuupuuzia yani nasoma jina nakujibu , malaya na mpuuzi mmoja usiyejitambua , Shenzi type , wivu umekujaaa na utakufa maskini for that
Nipo hapa Arusha. Nipe namba ya huyo kuruta wako niende Moshi hata siku tatu hamalizi namtomba na ushahidi nakutumia. Punga lisilojitambua wewe! Kwa akili hizi eti wewe ndo uoe polisi na usitombewe? Thubutuuu!

Hebu tuma hela vijana na maafande waendelee kumpelekea moto huyo kuruta wako 😂😂😂😂😂😂
 
wewe ni mpuuzi ambaye hujitambui , na wakishamaliza kumla watakuja kukukula na wewe takataka
Acha kupaniki. Tulia dawa ikuingie simp hanithi wewe. Unakuja kufungua uzi hapa kutueleza upuuzi wa demu aliyeko depo tena long distance relationship halafu tusikuchane? Na tukikuambia ukweli unaanza kuporomosha matusi. Kutombewa kunauma eeeh!? Pumbavuuu!
 
Back
Top Bottom