Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
we jamaa sidhani kama kweli unasoma master London,huenda unalima mchicha na matembele tu baada ya kumaliza chuo pale SAUT.sasa uzoefu wako sio wangu ilo lifahamu , yani haimaanishi kama wewe uliteswa na mimi ntateswa au aimaanishi kama wewe ulikutana na mwanamke aliyekuzingua basi na mm ni lazima yanikute noppp , we have different paths , huwez kusema heti kwa sababu mke wa jirani yani kacheat basi urudi nyumbani ugombane na mkeo wkati sio yeye aliyecheat utaonekana mjinga , elewa tuna historia tofauti hatuwez kufanana ndo maana kuna maskini na tajiri na ndio maana kuna barcelona na Kuna Yanga.