UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

mjinga kama wewe shenzi type mimi sio simp, acha uchawi kutoboa kupo soma bila makasiriko
 
wivu na uchawi =watanzania wengi , pole sanaaaa umefail hapa
 
huu ni uzi wako wa mwisho wa mrejesho chanya kuhusu mpenzi wako,uzi mwingine ukileta utakuwa ni wa jinsi gani ulivyopigwa mzinga. Screenshoot coment yangu.
uzi wako wewe wa mwisho , acha fitina sio kila mtu atakuwa ana historia kama yako , wivu na ubinafsi .
 
unaamini vipi huyo mwanamke ni wa kwako peke yako ili hali hauko nae,au mwenzetu uliifungia kufuri **** yake?
kusoma sjui hamuelewagi wengine , nan kakwambia naamini hvyo? nimesema am doing my part kama akibadilika na aende zake tupate mwingine , acheni wivu na chuki
 
Sasa kwa nini usubiri ahitimu ndo umuachishe kazi? Si umuondoe sasa hivi tu mzee,sitaki kukuombea mabaya but,very soon you will cry
sasa hivi unamundoaje kule wakati wapo kambini mku , siunajua hairuhusiwi kutoroka na akitoroka watampa adhabu kali na mambo kibao
 
wivu na uchawi =watanzania wengi , pole sanaaaa umefail hapa
Nilipumzika kuwaroga vijana wadogo wanaojitafuta ila kwa kebehi hii wacha nikufanyizie ngoja kwanza nianze na wewe huko huko kwa wazungu ,huyu wa CCP najua atanikuta mtaani huyu ni kizonga kimoja anaolewa na afande mwenziye chap .

Note hili utakuja kunisimulia ikiwa utashindwa kutumia masaa mawili haya kabla ya saa kumi na mbili kuniomba msamaha maana ikifika saa kumi na mbili rasmi naanza kukutafuta hewani
 
Upendo utaachaje kuongezeka wakati unatuma hela kila mwezi.
Kuna mwamba ametoka kunielezea hili suala leo hii tumeeongea mengi sana analalamika kuhusu mkewe ambae hawezi kumuacha ila anamfanyia vitimbi balaa yaan kwa aliyonisimulia ningekua ni mimi usiku usiku ningekua nishafukuza mtu, mwamba anafika hatua anasema kuliko kuishi na yule mwanamke bora ningekua nashinda tu bar narudi kulala mwenyewe nijue moja
 
Kuumizana macho tu!
 
Mkewe anamfanyaje
 
uchawi tu mkuu ila nikukumbushe kwamba tutatoboa acha ushirikina
Tatizo mchumba hako hata hajui kama unampenda kiasi hiki hivyo kuachana kupo palepale!😂
 
mjinga kama wewe shenzi type mimi sio simp, acha uchawi kutoboa kupo soma bila makasiriko
You just proved my point. You are a useless simp unayetumika wakati maafande wanajipigia tu hapo Moshi wakati wewe ukihudumia.

Huna akili ya kuishi na mke polisi wewe. Huyo atakuwa mke wa OCDs huko au mapolisi wenzake. Hata upaniki vipi lakini nakuonea huruma sana. Siku moja utakuja kuyakumbuka haya maneno. Useless simp! 🚮🚮🚮🚮
 
Mkewe anamfanyaje
Wajuba wanamsaidia kuipalilia ndoa.. najua hapo ushanielewa.. yaan anaweza akaaga anaenda sehemu fulani hafiki anakoenda anaenda safari anayoijua yeye mwamba akifuatilia kule aliposema anaenda anaambiwa mboni huku hajafika akipiga simu imezimwa jioni anarudi akiambiwa kule uliposema umeenda mboni nimeongea nao wanasemaa hujafika imekuaje anajibiwi ovyo na mwamba katulia tu.. nikasema ningekua mimi huyo ana bahati kaolewa na bwege na anajua wewe ni bonge la bwege
 
Huyo mwanamke anampenda sana mwamba ndio maana ana mchepuki
 
Come again, say what?
Ukiwa bila mchepuko ni rahisi kugombana ndani, sababu hata vikosa vidogo vinakuumiza ila ukiwa na mtu wa pembeni ndani ugomvi unapungua sababu ni ngumu kuona vimakosamakosa hivyo ndoa inadumu
 
Ukiwa bila mchepuko ni rahisi kugombana ndani, sababu hata vikosa vidogo vinakuumiza ila ukiwa na mtu wa pembeni ndani ugomvi unapungua sababu ni ngumu kuona vimakosamakosa hivyo ndoa inadumu
Ndio unavyomfanyia jamaa yako hivyo unauza mechi au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…