UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

we jamaa sidhani kama kweli unasoma master London,huenda unalima mchicha na matembele tu baada ya kumaliza chuo pale SAUT.
 
kumpa hela mwanamke ilihali bado hujamuoa ni ishara kuwa wewe unayetoa unajikosha kwa huyo anayepokea.na kama unasema upo tayari kuachana nae ikitokea mmetofautiana,hauwazii gharama na muda uliotumia kumakinika nae? Alafu siku zote mwanaume wa shoka hawezi kutuma pesa ili apendwe,anapendwa kwa show zake kitandani mkuu, alafu fimbo ya mbali haiui nyoka, ipo siku huyu dada atakutana nami nimkune vizuri,na ukituma hizo pesa awe ananihonga mimi. Pesa za mwehu huliwa na wenye akili Unasema unapesa,pesa gani wewe unatuma laki ndo mpaka unasema eti digit6 huna akil,soma kwanza dogo
 
Haya bro nimeshaona kitu.
Kazi njema😁😁
 
Mtajuana wenyewe na vikojoleo vyenu....
 
Unaoa police tayari ushaingizwa kwenye laana
 
Mwamba umeongea Kwa hisia kuzidi bob Marley type kisa chako
 
Hii comment nimeipenda, sijui nifanyeje kuichukua hii picha niwe nawanangia wasengerenyuma!

Simp medicine kudadadeki😃😄😁.
Dah, vijana nyie!
 
Binti namfahamu,wewe ni Mtu wa Mbeya ni Doctor na jina la Binti ni PH jina la mwanzo na mwisho.
Kama ni huyo Binti katulia sana na ni mzuri,ila usimuachishe kazi mtoto wa watu anategemewa sana kwao...
NB sio Kila mwanamke Polisi ni Malaya,umalaya ni tabia ya Mtu.Kuliwa ni maamuzi ya Mtu.
 
hapana sio mbeya ,na hilo sio jina lake ila ahsante kwa a good Comment
 
hapana sio mbeya ,na hilo sio jina lake ila ahsante kwa a good Comment😄🤝mambo ni mazur.
 
Moderator please naomba nisaidie kufuta all of my posts ,kuna watu nafahamiana nao waliisoma huku ,Delete this thread please !Sihitaji kuiona hii thread kuna watu wanacomment na chuki zao hawafurahi watu kupendana😅!Please delete this
 
Moderator please naomba nisaidie kufuta all of my posts ,kuna watu nafahamiana nao waliisoma huku ,Delete this thread please !Sihitaji kuiona hii thread kuna watu wanacomment na chuki zao hawafurahi watu kupendana😅!Please delete this
 
Bado hujakua.... Ukikua utajiona nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…