UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

Kayika Uislam tunaamini wanaokufa katika njia ya Mwenyezi Mungu ni mashaheed.

Dua zao zimekubaliwa, hiyo ni one way ticket ya peponi.
Sasa shetani ni muislam, amesilimishwa na mtume ,tena wanamtupia mawe Kwa kosa Gani sasa🤔

Halafu Pepo ndiyo kuzimu, na huko ndiko palipo na KITI Cha enzi Cha shetani,

Sasa hao wanaokufa huko huoni kwamba ndio wamepotea once and for all?
 
Ndugu yangu Lucas mwashambwa

Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako
 

Attachments

  • IMG_1925.jpeg
    IMG_1925.jpeg
    495.5 KB · Views: 1
Ndugu yangu Lucas mwashambwa

Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana...
Poleni sana na naamini jicho la Mama litatua hapo na kuona na kusikia kilio Chenu pamoja na kiu yenu na matarajio yenu. Rais wetu mpendwa ni msikivu na mwenye moyo wa huruma na kujali watu wake.
 
😂Nikajua mwanetu....... Kumbe we huwa ni demu bwana
itakuwa wewe ni mgeni humu jukwaani maana jukwaa zima linafahamu kuwa ephen ndio kiota cha Moyo wangu. Na wageni waalikwa wote watavaa nguo za kijani tuuu na kadi zote zitakuwa ni za kijani na wapishi watatinga na kujimwaga na Madera ya kijani.
 
Back
Top Bottom