UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

Ndugu yangu Lucas mwashambwa

Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako
Mpige mbuzi kabisa...... Mitano tena ......
 
itakuwa wewe ni mgeni humu jukwaani maana jukwaa zima linafahamu kuwa ephen ndio kiota cha Moyo wangu. Na wageni waalikwa wote watavaa nguo za kijani tuuu na kadi zote zitakuwa ni za kijani na wapishi watatinga na kujimwaga na Madera ya kijani.
Sio mbaya, kikubwa mbili tatu ziwepo kwenye shuhuli
 
Ndugu zangu Watanzania,

Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo walau mara moja tu katika uhai wake kuweza kufika katika mji huo mtakatifu kwa waislamu .

Vifo hivyo inasemekana vimetokana na kuchochewa na joto kali sana lililokuwa limetokea katika Wiki hii na kufikia nyuzi joto 51 ,kwa wale tuliosoma Geography tunaelewa maana ya joto hili kuwa ni la juu sana na hatari kwa maisha mwanadamu.

Nchi mbalimbali zimeripoti vifo vya watu wake,huku Misri ikiongoza kupoteza watu wake ,ambapo mpaka sasa imepoteza watu 658. Tanzania haijapoteza wala kutokea kifo cha mtanzania yeyote yule wala majeruhi .

Tuendelee kuwaombea wenzetu hao warejee salama kabisa hapa Nchini na kuungana na familia zao.

Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.kwa undani zaidi unaweza jipatia nakala yake au kusoma kupitia mtandaoni na kulipia kulingana na uwezo wako wa kifedha. Lakini pia natamani wenye uwezo wa kifedha mliopo humu jukwaani pia mngekuwa mnachangia Jamii forum pesa kidogo ili kuwatia moyo .ikumbukwe hili ni jukwaa linalotukutanisha maelfu ya watanzania na kujadili masuala mbalimbali kwa uhuru sana.

Kazi iendelee.Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kabisa DPWORLD ametukuka na mkataba wake ni miaka 10 tu
 
Hivi chura wa kizimkazi hajaenda kuhiji na yule mlinzi wake mwenye ndevu aliyevaa ushungi??

Maana yeye kila siku angani hadi kapata jina la malkia wa anga.
 
Mimi ni mkulima na naendelea kupiga jalamba shambani.Mheshimiwa David Kafulila anaweza itendea haki sana nafasi hiyo.
Kwani anayekaimu kwa sasa humkubali? Mbona yupo vizuri sana? Ninamfahamu yupo vizuri upstairs kuliko hata huyo unayempigia chapuo
 
Back
Top Bottom