UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

Ushindi kwa shetani hautokani na kumpiga mawe. Atakurarua vibaya sana
uumpige mawe shetani wa ukweli ni lazima atakushughulikia tu, kama shetani bandia anakanyagisha wahujaji huko, shetani og atashindwa nini? Unampiga shetani halafu huna kinga huko ni kujitakia maafa makubwa
 
Katika Uislam tunaamini wanaokufa katika njia ya Mwenyezi Mungu ni mashaheed.

Dua zao zimekubaliwa, hiyo ni one way ticket ya peponi.

Hii poa muwe mnakwenda kufia hapo kwa mamilioni kila mwaka, wala hautaskia dunia ikilalamika, huwa tunalalamika pale mnaanza kulazimisha watu wajiunge kwenye maushetani ya dini yenu.
Pangeni foleni ya kwenda kufia huko.
Japo pia ni huzuni maana kila unayekufa kwenye Uislamu au pagan au freemason nyie wote lenu moja, mnapaswa kuokolewa.
 
Watanzania hawafikagi kwenye kumtupia mawe Shetani
Nawaza tu kwa sauti. Ndiyo kusema makao makuu ya Shetani ni Makka mpaka ikateuliwa kuwa ndiyo sehemu sahihi ya kumpigia mawe, na wala isiwe sehemu nyingine yoyote ile hapa duniani! Hizi dini hizi!! 🙌 zinalisha mamilioni ya watu matango pori na kuwapeleka chaka na upotofuni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo walau mara moja tu katika uhai wake kuweza kufika katika mji huo mtakatifu kwa waislamu .

Vifo hivyo inasemekana vimetokana na kuchochewa na joto kali sana lililokuwa limetokea katika Wiki hii na kufikia nyuzi joto 51 ,kwa wale tuliosoma Geography tunaelewa maana ya joto hili kuwa ni la juu sana na hatari kwa maisha mwanadamu.

Nchi mbalimbali zimeripoti vifo vya watu wake,huku Misri ikiongoza kupoteza watu wake ,ambapo mpaka sasa imepoteza watu 658. Tanzania haijapoteza wala kutokea kifo cha mtanzania yeyote yule wala majeruhi .

Tuendelee kuwaombea wenzetu hao warejee salama kabisa hapa Nchini na kuungana na familia zao.

Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.kwa undani zaidi unaweza jipatia nakala yake au kusoma kupitia mtandaoni na kulipia kulingana na uwezo wako wa kifedha. Lakini pia natamani wenye uwezo wa kifedha mliopo humu jukwaani pia mngekuwa mnachangia Jamii forum pesa kidogo ili kuwatia moyo .ikumbukwe hili ni jukwaa linalotukutanisha maelfu ya watanzania na kujadili masuala mbalimbali kwa uhuru sana.

Kazi iendelee.Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka
Waulize hao wananchi wana'subscribers' wangapi kwenye tovuti yao au ambao wanalipa fee kwenye app!Hapo ndio utajua hali za watu zikoje even jamiiforums utakuta wanamembers wachache sana kwenye premium(those who pay).Kwenye dunia ya utandawazi bado watu wengi hawana uwezo wa kulipa 6$per month!!!
Hii inaonesha mama yako haupigi mwingi hata kidogo!Watu wako busy kutafuta mahitaji basic hasa Food & shelter mengine usiwaambie😂😂😂
 
Kazi ni kipimo cha utu.Tuendelee kuchapa kazi kujikwamua kiuchumi hasa kipindi hiki ambacho Rais wetu na serikali yake Anaendelea kuweka mazingira wezeshi na mazuri kutuwezesha wananchi kuinuka kiuchumi kwa kila shughuli tuifanyayo..
 
Kwa sh kuporomoka hivi!!!!?Hakuna watu wanaochapa kazi kama watanzania!Mazingira wezeshi hayo yako wapi?Hebu fafanua kidogo nikuelewe ukitoa na mifano(hata kama ni yako wew mwenyewe sio mbaya)!
 
Hii habari inahitaji uchambuzi wa kina. Kiigeographia ni kweli joto ni kali. Je wameshindwa kutumia AC ili kupunguza hilo joto.
Na vipi kiimani hiyo inamaa gani?
 
Hii poa muwe mnakwenda kufia hapo kwa mamilioni kila mwaka, wala hautaskia dunia ikilalamika, huwa tunalalamika pale mnaanza kulazimisha watu wajiunge kwenye maushetani ya dini yenu.
Pangeni foleni ya kwenda kufia huko.
Japo pia ni huzuni maana kila unayekufa kwenye Uislamu au pagan au freemason nyie wote lenu moja, mnapaswa kuokolewa.
Kuokolewa tena?vp yule aliesulibishwa akashindwa kujiokoa???kweli wagalatia wapumbavu
 
Back
Top Bottom