kosa lake ni uraisi, ilikuwa apokee kijiti, ni makubaliano mwakani 2025 ilikuwa apokee kijiti na kuwa raisi wa Malawi, waliahidiana na huyu kwamba ni term moja, mauti imemkuta …
acha tunguli uende mbinguni. ajali ya kawaida sio orchestrated
 
kosa lake ni uraisi, ilikuwa apokee kijiti, ni makubaliano mwakani 2025 ilikuwa apokee kijiti na kuwa raisi wa Malawi, waliahidiana na huyu kwamba ni term moja, mauti imemkuta …
Hii kudhibitisha ngumu, Hata hivyo, Malawi si Kampuni ya Familia. Raia ndiyo wanachagua wa kuwaongoza. Kama alikuwa amekubaliana na wananchi wa Malawi ningeelewa.
 
Wale mnaopenda kasafiri kwa anga hasa mikoa ya Njombe, Arusha Iringa na sehemu zenye kufanana na hali hiyo muwe waangalifu.

Hali ni mbaya kipindi hiki cha kikupwe, hatutaki lawama na kisa na mkasa hapo baadaye.
 
Soma vizuri au hujui kiingereza, ndege imeondoka toka tarehe 10 June 2024 saa 9:17 kwa saa za Malawi na kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa itue saa 10:02, ikapoteza mawasiliano hadi sasa ni tafuta tafuta tu.
Haya maelezo yalijaziwa hayakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…