Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino


Baba Mwajuma:

Hamas hawana silaha za Kuunguza eneo kubwa kushinda uwanja wa mpira.

It seems you well informed!
 
Kitu ambacho unapata nacho ukakasi naona hutazami vizuri, hivi huoni siku na miaka yote watoto na Wapalestina wanaouliwa? Siyo raia wa Palestina?

Au vigezo vyako vinatazama upande mmoja tu?


Kwa kukujuza tum hakuna raia wa Israel ambae siyo mwanajeshi. labda awe na umri wa chini ya miaka 18.
 
Apumzike kwa Amani! Kama imekuwa shida kutambuliwa, ni dhahiri yeye ni mhanga wa Israel.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 

Mimi kwangu hao wote naona ni wabaya tuu, kuna raiya wa israel wamezaliwa kwenye iyo ardhi baada ya wazaz wao kuvamia hapo, hao wanahaki maana ni wazaliwa sawa na wapalestina waliopo hapo.
Sheria za kiutawala ndo zimejawa ubinafsi na chuki za kimamlaka sababu ya ideology za udini what a poor mind. Watu wanashabikia et waisrael wote wafe/wapalestina wote wafe how!?

Tuseme ukweli tunakurupuka kudeal na hawa watu kwanza unaona wenzetu wameweka sheria wao ni wanajeshi kila mtu na ivo nikirecall nilivosoma kule juu kua wao kuua mwnajeshi wao kwenye jeshi kwajili ya manufaa ya jeshi ni swala la kawaida then ndo maana hawajal mateka wanajari ardhi ila Hamasi wanajari familia zao na bado wanaziweka rehani wakati wanajua wanaenda kuitafuta vita sasa kwanin na hamasi wasingetenga mda kuandaa jeshi l vijana hadi wazee then wale ambao hawausiki na jeshi watolewe kabla ya vita?

Vita nzuri kwangu ambayo ningeishi kwa kuipongeza hamasi hata kama wangeshidwa ni vita ambayo ingehusisha hamasi pekee hata kama ni mtoto as long as keshafikia umri wakujitambua kama mpambanaji then was rightfully way to deal with Mapuaz(insrael) but pia uko israel wasiue watoto wao wao wadeal jeshi kwa jeshi hapo ndo ingekua sawa kabisa mfano ni Amza wa ubalozini

Ye alijitokeza as opponent na akasimama bila kutaka mtu asiyehusika kuumia na alideal na polisi tuu wala hakutak kuumiza mtu mwingine means hata hao polisi wangekua sehem yenye wtoto wao bas asingeumiza watoto kwa makisa ya baba zao angedeal na baba pekee ila hii ya kuchanganya mpaka wanawake na watoto on war inaniuma on both side.
 
Code:
sasa kwanin na hamasi wasingetenga mda kuandaa jeshi l vijana hadi wazee then wale ambao hawausiki na jeshi watolewe kabla ya vita?
Ina maana haufahamu kabisa kuwa Hamas hawaruhusiwi kumiliki silaha za kijeshi hapo Ghaza?,Unasema wale wasiohusika wangetolewa,wangetolewa wapelekwe wapi?,Ulitakata Hamas wakae tu wakisubiri huruma ya Mungu bila ya wao kufanya juhudi?
Kwako wewe huoni kwamba Hamas wamepata mafanikio katika vita hii kwa kufunguliwa watu wao waliokuwa wameshikiliwa na Israel kwa miaka mingi Gerezani?
Ina maana haufahamu kwamba Dunia hii uongozwa na kauli mbuyu ya wachache wafe kwa manufaa ya wengi?.
 

Kama ndo ivo kwanini wanasambaza video za kuonesha wanavyo umizwa na israel kama mtu umejitoa sadaka kupata haki yako kwanini ulie? Kwanini ulalamike? Inshort wao walitaka wawavamie israel ila hawakaua tayari kwa vita.

Yan watoto hifadhi n.k viharibiwe vyote ili kukomboa mateka!!! Iyo hesabu mbona yakijinga, yani niruhusu mke wangu na watoto wafe ili nimkomboe kaka yangu mmoja!? Af nishangilie!? We unaona ayo ndo mafanikio!?
 
Hahahaaa!Mtoto aliyetekwa akiwa na umri na miaka 10 na ana achiwa baada ya miaka 7 unamuita kaka wa wanahamas?Haupo serious wewe.
 
Ndugu zako 12,000 na ushee wanauwawa kwa gharama ya mateka 150 ambao nao hawatauona mwezi by January unasema ni mafanikio?Haya bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…