Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kijana wetu Kauliwa na Hamas,

Ila habari mpya mpya mitandaoni Civilians wengi waliouliwa tarehe 7 Oct ni polisi wa Israel ndio waliwaua na Sio Hamas, Habari ambazo mpaka vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha.

Na kinacho Tia wasiwasi ni kwamba hawakutambua Mwili wake kwa zaidi ya mwezi, hali ya kuwa kuna Habari Miili mingi iliunguzwa na Polisi wa Israel. Sijui kama Hamas ama Polisi wa Israel wamemuua ila so far dots nyingi ukiungabisha ni Israel.

Hamas hawana silaha za Kuunguza eneo kubwa kushinda uwanja wa mpira.

Baba Mwajuma:

Hamas hawana silaha za Kuunguza eneo kubwa kushinda uwanja wa mpira.

It seems you well informed!
 
Nimesoma, nimeona nikama kujitoa muhanga hivi au kua excuted kwajili ya maslahi yakijeshi.

Sina tatizo na ilo, kama ndo hua utaratibu wao ni sawa, ni sawa na utaratibu wa jihad kwenye uislamu, inapobidi kufaywa jihad then inabidi ifanyike as long as adui kaingia kwenye himaya yako.

Napata ukakasi na kuumia kwanini operation za kijeshi afu Hamasi wakaattack raiya wa kawaida!! kua hamasi/israel millitary means umesighn hati ya kifo samthing which is right but kushirikisha raiya kwa makusudi hiyo sio sawa asee.

Saivi nimeamza kupata majibu kwanini Hamasi wanadhaurika na kuitwa mgambo moja sa sababu they are not professiona, milele nitamkubali marehemu Hamza alie fia ubalozini kuliko Hamasi, labda nipate ukweli tofaut wa aya nayo yaona.
Kitu ambacho unapata nacho ukakasi naona hutazami vizuri, hivi huoni siku na miaka yote watoto na Wapalestina wanaouliwa? Siyo raia wa Palestina?

Au vigezo vyako vinatazama upande mmoja tu?

Kwa kukujuza tum hakuna raia wa Israel ambae siyo mwanajeshi. labda awe na umri wa chini ya miaka 18.
 
Kumradhi kwa taarifa ya mwanzo niliyoleta kwenye uzi uliopita. Clemence alikuwa mmoja kati ya watu waliouawa kwenye uvamizi katika kibbutz Nahal Oz October 7 mwaka huu. Inavyoonekana ni kwamba watu wengi ambao ni raia wa Israel au raia wa nje bad hawajulikani walipo.

Mfano mwanadada Shani Gabay aliedhaniwa kuwa ni mateka, mwili wake ulitambulika siku ya jana kama sijakosea. Inawezekana kuwa miili ipo katika hali mbaya kiasi cha kushindwa kuitambua kwa haraka au idadi ya watu waliokufa ni wengi inabidi wafanye cross check na mabaki ya miili waliokusanya.
Source:

======
The body of a Tanzanian student who went missing in Israel after the bloody Hamas attack last month is due to be returned home on Sunday, his family said.

Clemence Felix Mtenga, 22, was one of two Tanzanians reported missing after the unprecedented October 7 attack that saw around 1,200 people killed and at least 240 taken hostage, according to Israeli officials.

In response to the deadliest attack in its history, Israel launched an air, artillery and naval bombardment alongside a ground offensive to destroy Hamas, killing nearly 15,000 people, according to the Hamas government in Gaza.

Tanzania's foreign ministry confirmed Mtenga's death in a statement on November 18, but did not say how he had been killed.

"We were to receive the body today but there are changes. We expect to have it tomorrow," his sister Christina Mtenga told AFP by phone on Saturday.

She said the funeral would take place on Tuesday in the family's home district of Rombo in the Kilimanjaro area of northern Tanzania.

Her brother was supposed to graduate this week from the Morogoro university in eastern Tanzania where he studied a degree in horticulture.

"It's a hard situation but we are coping," Christina said. "Clemence was polite, serious and hard working. He was religious and loved other people."

Mtenga and another Tanzanian student, Joshua Mollel, 21, went to Israel in September for an internship programme in agriculture but both went missing after the October 7 attack.

The head of Israel's international development agency Eynat Shlein had said on X, formerly Twitter, that Mtenga "was murdered by Hamas terrorists on Oct 7".

Tanzania's foreign ministry said in its update last week that Mollel was still missing.

The two students were among about 260 Tanzanian youths who went to Israel for an internship in modern farming, which is a partnership programme between the two countries.

Many of the places worst affected by the Hamas attacks were Israeli agricultural communes lining the region bordering the Gaza Strip.
Apumzike kwa Amani! Kama imekuwa shida kutambuliwa, ni dhahiri yeye ni mhanga wa Israel.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kitu ambacho unapata nacho ukakasi naona hutazami vizuri, hivi huoni siku na miaka yote watoto na Wapalestina wanaouliwa? Siyo raia wa Palestina?

Au vigezo vyako vinatazama upande mmoja tu?

Kwa kukujuza tum hakuna raia wa Israel ambae siyo mwanajeshi. labda awe na umri wa chini ya miaka 18.

Mimi kwangu hao wote naona ni wabaya tuu, kuna raiya wa israel wamezaliwa kwenye iyo ardhi baada ya wazaz wao kuvamia hapo, hao wanahaki maana ni wazaliwa sawa na wapalestina waliopo hapo.
Sheria za kiutawala ndo zimejawa ubinafsi na chuki za kimamlaka sababu ya ideology za udini what a poor mind. Watu wanashabikia et waisrael wote wafe/wapalestina wote wafe how!?

Tuseme ukweli tunakurupuka kudeal na hawa watu kwanza unaona wenzetu wameweka sheria wao ni wanajeshi kila mtu na ivo nikirecall nilivosoma kule juu kua wao kuua mwnajeshi wao kwenye jeshi kwajili ya manufaa ya jeshi ni swala la kawaida then ndo maana hawajal mateka wanajari ardhi ila Hamasi wanajari familia zao na bado wanaziweka rehani wakati wanajua wanaenda kuitafuta vita sasa kwanin na hamasi wasingetenga mda kuandaa jeshi l vijana hadi wazee then wale ambao hawausiki na jeshi watolewe kabla ya vita?

Vita nzuri kwangu ambayo ningeishi kwa kuipongeza hamasi hata kama wangeshidwa ni vita ambayo ingehusisha hamasi pekee hata kama ni mtoto as long as keshafikia umri wakujitambua kama mpambanaji then was rightfully way to deal with Mapuaz(insrael) but pia uko israel wasiue watoto wao wao wadeal jeshi kwa jeshi hapo ndo ingekua sawa kabisa mfano ni Amza wa ubalozini

Ye alijitokeza as opponent na akasimama bila kutaka mtu asiyehusika kuumia na alideal na polisi tuu wala hakutak kuumiza mtu mwingine means hata hao polisi wangekua sehem yenye wtoto wao bas asingeumiza watoto kwa makisa ya baba zao angedeal na baba pekee ila hii ya kuchanganya mpaka wanawake na watoto on war inaniuma on both side.
 
Code:
sasa kwanin na hamasi wasingetenga mda kuandaa jeshi l vijana hadi wazee then wale ambao hawausiki na jeshi watolewe kabla ya vita?
Ina maana haufahamu kabisa kuwa Hamas hawaruhusiwi kumiliki silaha za kijeshi hapo Ghaza?,Unasema wale wasiohusika wangetolewa,wangetolewa wapelekwe wapi?,Ulitakata Hamas wakae tu wakisubiri huruma ya Mungu bila ya wao kufanya juhudi?
Kwako wewe huoni kwamba Hamas wamepata mafanikio katika vita hii kwa kufunguliwa watu wao waliokuwa wameshikiliwa na Israel kwa miaka mingi Gerezani?
Ina maana haufahamu kwamba Dunia hii uongozwa na kauli mbuyu ya wachache wafe kwa manufaa ya wengi?.
 
Kama ndo ivo kwanini wanasambaza video za kuonesha wanavyo umizwa na israel kama mtu umejitoa sadaka kupata haki yako kwanini ulie? Kwanini ulalamike? Inshort wao walitaka wawavamie israel ila hawakaua tayari kwa vita.

Yan watoto hifadhi n.k viharibiwe vyote ili kukomboa mateka!!! Iyo hesabu mbona yakijinga, yani niruhusu mke wangu na watoto wafe ili nimkomboe kaka yangu mmoja!? Af nishangilie!? We unaona ayo ndo mafanikio!?
 
Hahahaaa!Mtoto aliyetekwa akiwa na umri na miaka 10 na ana achiwa baada ya miaka 7 unamuita kaka wa wanahamas?Haupo serious wewe.
 
Code:
sasa kwanin na hamasi wasingetenga mda kuandaa jeshi l vijana hadi wazee then wale ambao hawausiki na jeshi watolewe kabla ya vita?
Ina maana haufahamu kabisa kuwa Hamas hawaruhusiwi kumiliki silaha za kijeshi hapo Ghaza?,Unasema wale wasiohusika wangetolewa,wangetolewa wapelekwe wapi?,Ulitakata Hamas wakae tu wakisubiri huruma ya Mungu bila ya wao kufanya juhudi?
Kwako wewe huoni kwamba Hamas wamepata mafanikio katika vita hii kwa kufunguliwa watu wao waliokuwa wameshikiliwa na Israel kwa miaka mingi Gerezani?
Ina maana haufahamu kwamba Dunia hii uongozwa na kauli mbuyu ya wachache wafe kwa manufaa ya wengi?.
Ndugu zako 12,000 na ushee wanauwawa kwa gharama ya mateka 150 ambao nao hawatauona mwezi by January unasema ni mafanikio?Haya bhana
 
Back
Top Bottom