Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Ndiyo maana nasisitiza hapo gaza wapige hapo Atomic bomb patulie kama masaki haya mambo yasijirudie tena
Yaani mkuu pageuzwe?. Ardhi ya juu izamishwe mita 300 chini na ya mita 300 chini ipandishwe juu. Hapo inapelekwa chini na kilichomo na chini ipandishwe juu na kilichomo?
 
Wanawasifia vipi mkuu?
Kwamba hawajateswa, walichokula Hamas ndio walichokula wao, na wamekua treated vizuri mpaka wameondoka, mateka waliokua released awamu ya kwanza walisifia Hamas, ili kuepusha aibu Israel kapiga marufuku hairuhusiwi mateka yoyote kuongea na vyombo vya habari walioachiwa mara hii wote wamefungiwa kuongea na press
 
Where are the interviews? According to the article it says a police source without further context. Haaretz in English is known to have far left leaning in reporting in order to boost traffic from anti israel sentiments and often times exaggerated. The Cradle inanirudisha pale pale kwa Haaretz. I see what you are trying to do homes. Unataka niseme yes, Clemence aliuawa na apache helicopter akiwa kwenye shelter si ndio? Is that what you want? Kama tutaongelea nova party iwe ni topic nyingine kabisa tofauti na Mtanzania mwenzetu alieuawa. What are you trying to prove with this article? It's okay kama unataka kuwa anti israel I don't care. It's okay if you want to be pro hamas. Ila usiletee insufficient articles zisizokuwa na further sources kupush your agenda. Thank you

NB: Na hii report ya police wakikanusha madai ya Haaretz?

Au hii:

At this point kila uoande unajitetea. Pro Hamas and Pro Israel propaganda. This is information war my dude
Naona hata habari hujasoma badala yake ukaanza kukipiga Vita Haaretz, kama hufahamu haaretz

Angalia reviews za Haaretz,

Wana High credibility kuandika habari za Ukweli na miaka 5 iliopita hakuna habari hata moja ambayo imekuja kugundulika ni ya Uongo.

Kama Mimi nilivyoandika hapa na wewe naomba niletee kipindi Cha Karibuni ni nini Haaretz waneripoti kikaonekana ni Cha Uongo.

Pia naomba utuambie ni silaha gani ya Hamas ambayo inaweza kuunguza miili isijulikane mwezi mzima na kuunguza magari yote parking kama sio Kazi ya Apache za Israel
 
Wayahudi wana kitu kinaitwa "Hannibal directive) hiyo maana yake kwa ufupi, ni herfi ufe au uuwe mwenzako kuliko kushikwa mateka au kuliko kutumiwa adui ajifiche nyuma ya mateka ni heri kuuwa wote.

Niliandika humu JF siku ileile tuliyopata habari, kuwa hao ni Wayahudi waliouwa. Wapalestina hawana kanuni hizo za kijinga.

Mliosoma posts zangu za nyuma na kuniponda sana kwa kusema hivyo, sasa mniombe radhi.
 
Wayahudi wamemuuwa huyo, siku ya festival wayahudi walichanganyikiwa wakauwa kila kitu kinachokatiza mbele yao.
...
FB_IMG_1700579192159.jpg
 
You want me to read Arab propaganda? Nimesema arab propaganda not arab website. Know the difference dude. Unaniita mpuuzi let's see......umeresolve kutumia lugha chafu kwasababu nimekuambia ubaki kwenye topic. I talked about Clemence....stay on topic Abdul
Kafiri ,unafurahia watu wafe jinga wewe
 
Yaani mkuu pageuzwe?. Ardhi ya juu izamishwe mita 300 chini na ya mita 300 chini ipandishwe juu. Hapo inapelekwa chini na kilichomo na chini ipandishwe juu na kilichomo?
Wagalatia wana roho chafu
 
Jeshi la Israel liliua watu wengi sana kwenye operesheni yao ya kudeal na Hamas, siku ya october 7

Hamas shida yao ilikuwa ni kuteka waisrael tu ili wawatumie kama bargaining chip ya kuachiwa wapalestina kibao walio katika jela za Israel
 
Kwanini waliwaua mkuu?
Kwa logic ya Israel wapo radhi kusacrifice maisha ya watu 100 kupata Hamas mmoja,

Walipokua wanakimbia hao ambao wapo kwenye Concert ilikua haijulikani nani Hamas, nani palestina, nani Israel etc solution yao ni kuua wote.

Angalia video ya RT nilioeka juu ikionesha eneo lote limeunguzwa.

Mwanzo Israel walisema Watu 1400 raia wao wamekufa baadae wakapunguza idadi hadi 1200 baada ya watu 200 waliokua wameungua vibaya kutambulika sio Waisrael, ni kina nani hawa 200? Hatuwajui ila immediately baada ya hii Taarifa tukaambiwa mtanzania aliekua huko amefariki Dunia tarehe 7.

Swali la kujiuliza kwanini kama Amefariki toka tarehe 7 habari itoke sasa hivi? Nafikiri ndugu wa Marehemu wana jibu, ukweli utatoka muda si mrefu.
 
Naona hata habari hujasoma badala yake ukaanza kukipiga Vita Haaretz, kama hufahamu haaretz

Angalia reviews za Haaretz,

Wana High credibility kuandika habari za Ukweli na miaka 5 iliopita hakuna habari hata moja ambayo imekuja kugundulika ni ya Uongo.

Kama Mimi nilivyoandika hapa na wewe naomba niletee kipindi Cha Karibuni ni nini Haaretz waneripoti kikaonekana ni Cha Uongo.

Pia naomba utuambie ni silaha gani ya Hamas ambayo inaweza kuunguza miili isijulikane mwezi mzima na kuunguza magari yote parking kama sio Kazi ya Apache za Israel
Kama nilivyosema mwanzo stay on topic. Hujanijibu kuwa dhumuni la kuleta incident za Nova Party katika Uzi wa Clemence ni nini? Are you saying kauwawa na Apache helicopter? Because it seems that's what you're suggesting honcho
 
Kafiri ,unafurahia watu wafe jinga wewe
Look at you, hateful cultist. We umeona wapi nimesema Palestinians wafe Niko bize nawatetea. Ujinga wako unatoa mnato wenye usaa juu. Screw off dude. We umeona wapi nafurahia Palestinian akifa.
 
Kama nilivyosema mwanzo stay on topic. Hujanijibu kuwa dhumuni la kuleta incident za Nova Party katika Uzi wa Clemence ni nini? Are you saying kauwawa na Apache helicopter? Because it seems that's what you're suggesting honcho
Wewe uliweka Conclusion Yako kwamba ni Hamas walio muua, wakati mpaka Sasa hatujui nani kamuua, na Mimi nimeleta possibility kwamba Kuna uwezekano ni Israel ndio wamemuua, Mimi nimebase logic Yako sababu amefariki toka Tarehe 7 ila habari haijatoka hapo hapo tukaja tukajua baadae.

Watu ambao habari zao za kifo zimetoka baadae ni wale waliouliwa kwa kuchomwa na Apache na kupelekea miili yao kuungua na wasitambulike.

Kama una Ushahidi lete hapa kama unavyoclaim la sivyo utakua ni wale wale waeneza propaganda.
 
Back
Top Bottom